Eric Shigongo ni nani?

Eric Shigongo ni nani?

Nenda bamaga pale utamuona hana noma japokuwa uende angalau na kisa chako kimoja hivi ili kiwekwe gazetini kwake
 
Tafuta vitabu vyake haswa vya uhamasishaji amejieleza vizuri ila jamaa katokea chini ni la saba aliyekuwa na hamu ya kuwa mtu fulani nchini na dunia simple mind hawamkubari ila mimi namkubali
Asante sana mkuu
 
Samahani naomba nikuswalike hv kuna Beira Boy na Beira baby boy

mnanichanganya sana nyinyi ama nyote ni ww?
Ukiona beira boy, beira baby boy au london boy ujue ni mtu mmoja kutoka kwa malkia Elizabeth
 
Ni jamaa flani alitapeliwa na maccm..alipoenda kuwadai huku analia akaambiwa"kumywa maji mwanangu"sijui baadae walimpa!
 
Ni jamaa flani alitapeliwa na maccm..alipoenda kuwadai huku analia akaambiwa"kumywa maji mwanangu"sijui baadae walimpa!
Hahaaaa umenikumbusha mzee kinana
 
Back
Top Bottom