The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Wakuu
Serikali imemaliza tatizo la maji katika Kijiji cha Buswelu, Kata ya Nyanzande, Jimbo la Buchosa, kwa kujenga kisima kirefu kinachotumia nishati ya jua kusambaza maji kwa wananchi.
Ahadi ya kutatua changamoto hiyo ilikuwa miongoni mwa ahadi za Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, kwa wananchi wake. Shigongo amesema alifikisha kilio cha wananchi kwa Rais Samia Suluhu Hassan, na sasa maji yanapatikana na wanakijiji wanayatumia.
Shigongo anasema alipata nafasi ya kutembelea mataifa mbalimbali ambapo alibaini hali za mataifa hayo ni mbaya ukilinganisha na Tanzania kwani uchumi unakua. Huyu jamaa ni chawa wa Rais sana kila anapogusa lazima amtaje Samia mara Uchumi umekua yote ni kuelekea oktoba 2025.