Eric Shigongo: Nilipata kusafiri nchi tofauti, wana hali mbaya sisi tuna nafuu uchumi unakua

Eric Shigongo: Nilipata kusafiri nchi tofauti, wana hali mbaya sisi tuna nafuu uchumi unakua

Eti kodi za wananchi wenyewe zinazokusanywa kwa ajili ya miradi ya maendeleo na maboresho hawa machawa wanageuza kuwa hisani au upendeleo wa mama yao.... Du!
Ziro brain kabisa!
 
Wakati anapata ubunge nilitegenea tumepata bonge la mtetezi wa taifa na rasilimali zake kutokana na interview nyingi alizokuwa anafanya kabla zilimuonyesha ni bonge la mzalendo ila baada ya kuupata ubunge na hoja zake nimekuja kubaini ni bonge la chawa wa watawala. Mle bungeni kwa sasa mwenye akili za kujitambua ni Mpina peke yake.
Mwenyewe nilikuwa na matumaini makubwa naye, kumbe ni mtu wa hovyo kabisa na tapeli tupu
 
Tokea kutudanganya na kitabu chake cha :The president love my wife.Anajiona ana akili sana
 
Eti kodi za wananchi wenyewe zinazokusanywa kwa ajili ya miradi ya maendeleo na maboresho hawa machawa wanageuza kuwa hisani au upendeleo wa mama yao.... Du!
World Bank ni ya CCM? miradi yote unayoiona inakamilika ni kwa ufadhili wa World Bank wasijipigie chapuo waambieni waseme ukweli wasutake mpaka wabanwe vinena na mapumbu
 
Wakuu

Serikali imemaliza tatizo la maji katika Kijiji cha Buswelu, Kata ya Nyanzande, Jimbo la Buchosa, kwa kujenga kisima kirefu kinachotumia nishati ya jua kusambaza maji kwa wananchi.

Ahadi ya kutatua changamoto hiyo ilikuwa miongoni mwa ahadi za Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, kwa wananchi wake. Shigongo amesema alifikisha kilio cha wananchi kwa Rais Samia Suluhu Hassan, na sasa maji yanapatikana na wanakijiji wanayatumia.

Shigongo anasema alipata nafasi ya kutembelea mataifa mbalimbali ambapo alibaini hali za mataifa hayo ni mbaya ukilinganisha na Tanzania kwani uchumi unakua. Huyu jamaa ni chawa wa Rais sana kila anapogusa lazima amtaje Samia mara Uchumi umekua yote ni kuelekea oktoba 2025.


View attachment 3262289
Ameshiba pilau huyu
 
Back
Top Bottom