The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Eric Higongo, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini, Dk. Oscar Ishengoma Kikoyo na mgombea udiwani wa Kata ya Muleba Mjini, Mhaji Bushako wameendelea na kampeni ya kusaka kura za Dk. Samia Suluhu Hassan.
Shigongo amewaambia wananchi wa kata ya Muleba 'Tunakokwenda ni kuzuri kuliko tulipotoka na tulipo, na hakuna anayetudai'
Shigongo amewaambia wananchi wa kata ya Muleba 'Tunakokwenda ni kuzuri kuliko tulipotoka na tulipo, na hakuna anayetudai'