GE2025 Eric Shigongo: Tunakokwenda ni kuzuri kuliko tulipotoka na tulipo, Hakuna anayetudai

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Eric Higongo, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini, Dk. Oscar Ishengoma Kikoyo na mgombea udiwani wa Kata ya Muleba Mjini, Mhaji Bushako wameendelea na kampeni ya kusaka kura za Dk. Samia Suluhu Hassan.

Shigongo amewaambia wananchi wa kata ya Muleba 'Tunakokwenda ni kuzuri kuliko tulipotoka na tulipo, na hakuna anayetudai'

Your browser is not able to display this video.

​
 
Huyu jamaa anatuaibisha sana wasukuma

Kanda ya ziwa huku chawa kabaki peke yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…