Eric Shigongo: Vyombo vya Habari vikipewa ruzuku ya Serikali vitakuwa vimefungwa mdomo

Eric Shigongo: Vyombo vya Habari vikipewa ruzuku ya Serikali vitakuwa vimefungwa mdomo

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Mbunge wa Buchosa, Eric James Shigongo amesema “Kuna hali mbaya sana kwenye Vyombo vya Habari labda kama Serikali imeamua vife ili wafanye mambo yao sawasawa, hakuna maendeleo bila Vyombo vya Habari.”

Ameyasema hayo wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bungeni leo, Mei 16, 2024.

 
Huo ndo uhalisia uliopo vyombo vya habari vina hali mbaya sana ya kiuchumi
 
Ni sera mbovu za serikali kuu na zile za Halmashauri/TAMISEMI kujaza mabango ya biashara, promotion, siasa ,waganga wa kienyeji n.k huku ni kuchafua mazingira ya barabara majengo na maghorofa.

Matangazo hayo juu badala ya kuyaanika ktk mabango serikali kuu / serikali za halmashauri mitaa wangeweka sera magazeti, majarida na stesheni za televisheni pia radio iwe ni maeneo ya rasmi mahususi na pekee kutangaza biashara, promotion, uganga n.k hivyo vyombo vya habari kuvuna matangazo pia mazingira yetu kuondokana na uchafuzi wa mabango na matambara ya matangazo.

Hii ni dunia ya kidijitali tuondokane na mbinu za kijima za matangazo.
 
TBC imewashinda hiyo ruzuku siwaende wakaiboreshe tbcyao

Independent inawekwa wapi
 
Back
Top Bottom