Eric Shigongo: Watanzania tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana.

Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa.

Shigongo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Global Group, Sinza Mori jijini Dar es Salaam.
 
Huyu mzee ushirikina umemsaidia kufika hapo alipo ndiyo maana kutwa kusifia Rais, ukimuuliza amefanyia nini watanzania kwa umri wake hana jibu, amegusaje maisha ya watanzania. Kimsingi tuna bunge la watu wajinga sn.
 
Tulishaanza kutembea kifua mbele tangu balehe yetu
 
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana.

Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa.

Shigongo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Global Group, Sinza Mori jijini Dar es Salaam.
View attachment 3245355
Dume kama Demu.....uchawa umepitilizaaa njaaa mbaya...
 
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana.

Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa.

Shigongo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Global Group, Sinza Mori jijini Dar es Salaam.
View attachment 3245355
Ni kweli wabunge ni matajiri. Je utajiri wao unasaidiaje Taifa letu?
 
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana.

Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa.

Shigongo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Global Group, Sinza Mori jijini Dar es Salaam.
View attachment 3245355
Kushiba mno na kuachia ushuzi ni vitu pacha. Kavimbiwa, sasa anatoa mashuzi, wala hajali uchafuzi wa hali ya hewa kutokana na harufu mbaya ya ushuzi wake.

Chawa wamezidi sasa kwa mashuzi. SSH naye atoke hadharani sasa na akatake sifa za machawa. Picha yake inatumika hovyo kila mahali, katika majiko ya kupikia ya gesi, madaftari, pikipiki, n.k.

Hii ni tafsiri ya kisheria kuwa, amekwisha anza kampeni nje ya muda utakaowekwa rasmi na tume ya uchaguzi.
 
Alipodhulumiwa hela za Tisheti na kofia za ccm alizochapisha kwa hela yake mbona hakutembea kifua mbele, au wakati ule nchi haikuwa tajiri?
Tshirts zenyewe alichapisha kwa bei ya kifisadi, ngosha alipogoma kumlipa shigongo alililia kama mtoto mbele ya kamera. Leo hii amelipwa ufisadi wake anatamba.
 
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana.

Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa.

Shigongo ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za Global Group, Sinza Mori jijini Dar es Salaam.
View attachment 3245355
Sio kweli kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza kwa helium. He didn’t do his homework!

Currently, the top ten countries with significant helium reserves or production capacity include:

1. United States - The U.S. has the largest known helium reserves, primarily located in the National Helium Reserve in Texas, as well as in natural gas fields in Kansas, Oklahoma, and Wyoming.

2. Qatar - Qatar is one of the world's largest producers of helium, extracting it as a byproduct of its vast natural gas fields.

3. Algeria - Algeria has substantial helium reserves, often extracted alongside natural gas production.

4. Russia - Russia has significant helium reserves, particularly in its eastern Siberian natural gas fields.

5. Canada - Canada has helium reserves, particularly in provinces like Saskatchewan, where it is extracted from natural gas.

6. Australia - Australia has been developing its helium reserves, particularly in natural gas fields in Queensland and South Australia.

7. Poland - Poland has discovered helium reserves in recent years, particularly in natural gas fields.

8. China - China has been increasing its helium production, with reserves found in natural gas fields.

9. Tanzania - Tanzania has discovered significant helium reserves in the Rukwa region, which are expected to become a major source in the future.

10. South Africa - South Africa has some helium reserves, often extracted as a byproduct of natural gas production.
 
Alitengeneza mabango ya Uchaguzi wa Rais aliwadai sana wakampa kipengele cha kodi akatulia kimya baadae wakamuonea huruma wakampa Ubunge toka hapo kawa kama hivyo alivyo ni kusifia kwa kwenda mbele maana analikumbula lile lumba.
 
Sasa kama nchi ni Tajiri na wananchi ni masikini hao waliopo juu wanahitaji pongezi au lawama ?
 
Back
Top Bottom