Eric Ten Hag kumuacha De gea hawezi kufanikiwa Manchester United

Eric Ten Hag kumuacha De gea hawezi kufanikiwa Manchester United

Umenielewa tofauti

Mimi toka miaka mingi nafuatilia Barclays PL
Na soka la ulaya
. sikumbuki ni lini nilipoteza muda kufuatilia ligi ya Tanzania labda itokee bahati mbaya tupo out weekend na mpira inachezewa but sijui kitu kuhusu mpira wa tanzania
Ila sio mbaya japo ukawa na katimu kamoja ka nyumbani kwako, kauzalendo kidogo
 
Yaani mtu unaumia kabisakabisa yanayotokea timu ya Uingereza wewe upo Mivumoni hata hauumizwi na timu yako ya KMC. Acheni tu tuwe watumwa
Africa hatuna chetu vyote vimeanzia huko sisi ni kushabikia tu hata dini yako imeanzia huko nje lkn mpk Leo bado unaishabikia
 
Hii timu tumevumilia kwenye nyakati zote ngumu de gea akitubeba timu ikiwa mbovu kupindukia na makocha wabovu kupindukia ila degea amekuwa kwenye ubora wake kwa muda wote huo ametubeba

Nilimuunga hatua ETH kwa kila hatua kwenye maamuzi yake ya kujenga timu ikiwemo kuwaondosha wachezaji waliochoka kina Ronaldo pamoja na wachezaji wabovu kina martial na kina sancho na wengine

Lakini hili la kumuondoa degea litakuja na mikosi kwake
Imeniumiza sana hii degea reserved more respect than this angemuongezea mkataba wa miaka miwili hata asipdaka mechi zote

Hili la kusingia kuwa de gea ni traditional goal keeper sioni kama linauzito kwa sababu degea ni bora kwenye kila kipengele na sidhani km footwork kwake inakuwa shida kudeliver

Ten hag nilikupa odds nyingi kuinyanyua manchester united ila kwa hili utafeli kwa kweli

Watu wengi sana duniani wameumizwa na hiki alichofanyiwa degea

Poor Eric prepare to be fired
Kama hujui mambo ni bora uulize mkuu, United inahitaji goalie mpya mwenye kuendana na mahitaji ya soka la kisasa.

Wachezaji wa timu ya Brentford waliwahi kuhojiwa na kusema kuwa wanapenda kucheza dhidi ya Man Utd kwakuwa ni rahisi kum-press DDG na kuwarahisishia wao kuupata tena mpira kirahisi kwakuwa huwa DDG anapenda kubutua.

Achana na fikra zako zilizopitwa na wakati ni muda sahihi wa DDG kuondoka Man Utd hata huku timu ya taifa hajacheza mechi tangu mwaka 2020
 
Yaani mtu unaumia kabisakabisa yanayotokea timu ya Uingereza wewe upo Mivumoni hata hauumizwi na timu yako ya KMC. Acheni tu tuwe watumwa
Yuko Matombo huko Morogoro
 
Kwanza, bado sijaona popote walipo comfirm de gea anaondoka man u.

Pili, Ten hag mara zote confidently amekiri kuhitaji de gea abaki pale man u.
Lakini maamuzi ya mwisho juu ya abaki au aende hayapo mikononi mwake bali management ya timu kwani wao ndio hulipa mshahara.

lakini pia de gea hapa mwishoni kafanya makosa yaliyoigharimu timu kiasi cha mashabiki wengi kuona bora aondoke.
 
Back
Top Bottom