Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Siku hizi naona makosa ni Utakatishaji fedha na kukwepa kodi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Zitto kabwe anafahamu kuwa Kabendera pia katika wakati huo huo aliingiziwa kiasi cha Paundi za Uingereza 119,000,130.84. Sawa na zaidi ya shilingi milioni 305 za kitanzania.


.....halafu unataka tuamini haya uliyoyaandika?
 
Kwa maelezo haya yote (uhalalishaji/justification) kuna walakini katika suala zima. Ninamini ukweli utajulikana siku moja , ingawa sio leo. Yetu macho na masikio.
 
Kama kilichoandikwa ni kweli bac ni noma. Q
 

Umekuwa msemaji wake !!
 
Acheni kuua Dhamiri zenu na kuwanyanyasa watanzania wenzenu kwa mambo ya kipuuzi.Madaraka yanapita tu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…