Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
1954 hujui ukiandikacho. Waweza kuwa au ni member wa oligachy au ni prise team ambayo kila dhuluma ya Serikali dhalimu mnaipigia makofi.Amenunua uhuru gani???!!! Nyie watu wa ajabu mno...mkiaminishwa kuwa huyu amenunua uhuru na nyie mnaimba hivyo hivyo kama mlivyokaririshwa...Sometimes you people you have to use your heads....Kabendera amefungua accounts kibao anaingiziwa dollars na pound sterling kutoka kwa hao wanaomtumia...Nyie bado mnasema amenunua uhuru...sawa amenunua uhuru sasa mnataka nini??? Nchi hii ina taratibu zake...Tanzania ni sovereign state...America nayo ni sovereign state ndiyo maana imeapa kumshughulikia yule jamaa aliyetoa siri za udukuzi...mbona hamsemi huyo jamaa naye anaonewa??? Acheni kupiga kelele ...Hii ni nchi huru...mkianza kupiga kelele sijui nini haki za binadamu sijui mabalozi mtakwenda na maji ...hawawezi kuja kuwasaidia hapa...Ukiitwa na dola nenda kajisalimishe siyo unajifungia ndani na kutamba kuwa eti kuna haki za binadamu...acheni hizo... Serikali hapori uhuru wa mtu....ila wewe Mtanzania mwenzetu ukieuka na kuanza kuwatumikia watu wa nje na wa ndani against this state lazima utashughulikiwa bila kujali kelele za haki za binadamu...Ukitoa siri za taifa hili kwa wageni wewe ni adui wa taifa hili na tutakushughulikia...
Kwanini iwe dhambi kuwa na akaunti za fedha? Kwa nini tusiwe na Watanzania wanaofanya kazi za ınternational consultancy? Na wanalipwa kimataifa!!
Eti siri za nchi, Tanzania ina siri? Mnajadili kuua watu na kuwatupa mtoni na wengine mumewazika kusikojulikana kupitia kikundi cha Makonda. Mnatumia fedha za walipa kodi vibaya kama Tsh 2.4 Trillion halafu CAG ametoa ripoti, kisha mume mfukuza kazi, hiyo nayo ni siri?
Aliyoyafanya Snowden dhidi ya USA siyo kama haya. Yeye akına ICT consultant wa State house alizamia kwenye mtandao kwa njia ya hacking, kitu ambacho ni illegal. Taarifa zote alizoandika Eric Kabendera kwenye gazeti la Economist siyo za siri ni za Kweli ambazo Serikali inashindwa kumtumia VUVUZELA wao Dr Hassan azitolee majibu.
Sasa kichwa hata kama 1954 wanajifanya eti nao wana akılı, kumbe ni salama soli za Jiwe tu. Subirini iko siku huyo Jiwe atatoka Ikulu ndiyo chupi zitawabana