Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Amini Kabendera ametumiwa sana na wanasiasa na makapuni ya nje. Makala zake nyingi alizoandikia magazeti ya nje, zilikuwa zikitayarishwa na wanasiasa au makampuni hayo naye akizirusha tu.Aisee mkuu mleta mada mahela yote hayo Kabendera alikuwa anawafanyia kazi ipi nyeti hao mabeberu?
Hii kuanika hadhalani madudu ya mkulu ndo alipwe mihela yote hiyo kweli?
So hizo akaunti zimeshakuwa freezed mpaka muda huu au still operating?
Why pesa ipitie crdb benki tu? Policies za money laundry kwao zikoje?
Usikute wanasiasa kama Zitto walikuwa wakitumia accnt hizo kuingizia pesa wanazolipwa na mabeberu na kuzihamishia mifukoni mwao.