Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Ktk nchi hii kwa sasa vyombo vya usalama na vya kutoa haki ni wazi kuwa haviko huru. Kwenye hiyo kesi hakuna duru huru inayoweza kuthibitisha uhalali wa yaliyokuwemo kwenye Charge Sheet ya Kabendera.

Hayo yanaweza yakawa pre-planned na jamaa aka-plead guilty under duress ili aachiwe huru.
 
Nawasiwasi na tarakimu za fedha ulizoandika ukilinganisha na Tsh
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hili suala mpaka Mheshimiwa Kigogo2014 kudai walimtetea JIZI Leo kawaabisha mchana kweupe imenifanya nimfikirie Sana huyu Bwana Zitto

Typed Using KIDOLE
 
Hili suala mpaka Mheshimiwa Kigogo2014 kudai walimtetea JIZI Leo kawaabisha mchana kweupe imenifanya nimfikirie Sana huyu Bwana Zitto

Typed Using KIDOLE

And WHO the https://jamii.app/JFUserGuide is kigogo?

Yaani kigogo ni nani na umuamini yeye?

Kwanini uhisi kama kigogo kila anachokisema ni kweli?

Kigogo huyu huyu alisyesema Rais wa nchi amefariki?

Come on bro be serious.
 
Best vipi
mbona sikusikii tena
sikuoni uki tweet
au bundle limekuwa kipengele?
 
Ni hayawani tu atakaeamini hii takataka uloandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali mbona hilo genge halikupandishwa kizimbani alikuwa akipanda mwenyewe? Pili inajulikana kilichomuokoa ni ccctv camera yaani wasiojulikana baada ya kutoa maagizo ya kublock line yake ya voda lengo likiwa amtangulie mama yake yeye na lwajaba sema mipango ya Mungu si ya wanadamu wakagundua tayari ccctv zimenasa vyote wakakosa jinsi kupoteza lengo akabambikwa.Yakamkuta hayo ya kununua Uhuru wake.
 
Financial intelligence ni muhimu kuwa nayo la sivyo wanakuunganisha kama kuku
 
Team ya wanasheria kutoka ICC tayari ipo dsm ili kukamilisha kuwaning'iniza kwa pilato
Unajichosha bure kuelimisha hawa wahamisha magoli. Alipokamatwa wao ndoyo walikuwa wa kwanza kusema mashtaka yake yawekwe wazi.

In God we Trust
 
Haisaidii kitu wakati tayari wazungu washa andaa vikwazo
In God we Trust
 
Bosi wa Mchange ndio yule Musiba?!

Kazi kweli kweli...... Yaani kuna mbwa na mwenye mbwa.

Sasa habibi atakuwa " nyau" au?
 
Habibu mchange na zitto si walikuwa too closer kama Bibi na bwana za karata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini DPP hakuutoa ushahidi huu mahakamani kwa kipindi chote cha miezi 7???

Kwanini mke wake na hao unaowaita genge hawakufikishwa mahakamani???

Na ni kwanini mwanzoni lilifanyika jaribio la utekaji???

Na ni kwanini hakupewa hata nafasi ya kumzika mama yake??
Hili halikufanyika makusudi kwa nia ya kumkomoa?

Mwisho ni kwa nini unamsakama sana Zito hata kuandika uzi huu kwa nia ya kumjibu Zito???

Maswali haya yote yanahitaji majibu sahihi, si majibu mepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And WHO the **** is kigogo?

Yaani kigogo ni nani na umuamini yeye?

Kwanini uhisi kama kigogo kila anachokisema ni kweli?

Kigogo huyu huyu alisyesema Rais wa nchi amefariki?

Come on bro be serious.
Si mlimuunga sana mkono.... Sahivi kawa adui yenu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…