Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Sawa mkuu, endelea kukejeli ila nakuhakikishia dunia bado ipo... muda utasema....Wewe unaumia nini ukweli huu kuwekwa wazi!? By the way Kabendera ameweza tu kupaza sauti ila chini chini ni muda tu inajulikana Saanane aliuliwa ndani ya Ikulu na yule kichaa.
Shida ya watanzania ni UNAFIKI.Wewe unaumia nini ukweli huu kuwekwa wazi!? By the way Kabendera ameweza tu kupaza sauti ila chini chini ni muda tu inajulikana Saanane aliuliwa ndani ya Ikulu na yule kichaa.
Magu alikuwa mhutu kama sio mzinzaMkuu ondoa ukabila Wasukuma wenyewe hata hatumjui Magufuli katoka ukoo gani.
Shida WaTZ unafiki mwingi.Sawa mkuu, endelea kukejeli ila nakuhakikishia dunia bado ipo... muda utasema....
Yule mpumbavu aliteka mpaka wasanii. Roma alimkosea nini!? Eri kipindi cha Mkapa!? Hizi porojo zipeleke kaburini chato.Shida ya watanzania ni UNAFIKI.
Na huu UNAFIKI utawafanya muwe watumwa wa kifikra hadi dahari.
Kipindi chote hakuna kipindi mauaji yalishamiri kama kipindi cha Mkapa,ila hukusikia watanzania wakiropokwa kama sasa.
Ila kuhusu Magufuli ndio mnajua kama kuna mema na mabaya au siyo!?
Kwani kuna mtu kabisha kuwa dunia haipo!? Punguza porojo Aisee!Sawa mkuu, endelea kukejeli ila nakuhakikishia dunia bado ipo... muda utasema....
Una ushahidi wa Roma kutekwa na Magufuli!?Yule mpumbavu aliteka mpaka wasanii. Roma alimkosea nini!?
Misaada ya wazungu wanakula mafisadi ya ccm, usiwasingizie masikini wa Tanzania. Acha porojo uchwara hizi.Nilichojifunza... waafrika wengi hasa Watanzania bado wapo utumwani... tena akili zao zimefungwa minyororo ya uvivu na misaada ya wazungu... akitokea kiongozi mwenye nia ya kuwatoa huko kwa sababu ya uvivu wao watampinga......
#kabendera must pay for it
Hii kumbukumbu.... ikifika itajulikana kama ni porojo ama nini....Kwani kuna mtu kabisha kuwa dunia haipo!? Punguza porojo Aisee!
Kwa hiyo maovu ya Mkapa ndio yanahalalisha magufuli kumpiga risasi Ben Saanane Ikulu, kisa kuhoji PhD yake ya mchongo!?Una ushahidi wa Roma kutekwa na Magufuli!?
Basi sawa tuseme Roma alitekwa na Magufuli, unazungumziaje uuaji wa mashehe Zanzibar alioufanya Mkapa!??
Mbona unahaha haha sana kwenye hoja mkuu!?Kwa hiyo maovu ya Mkapa ndio yanahalalisha magufuli kumpiga risasi Ben Saanane Ikulu, kisa kuhoji PhD yake ya mchongo!?
Unajua punguza upumbavu wako. Ushetani wa magufuli utasemwa utake au usitake na huwezi kuwazuia watu wasiuseme, sawa!? Kama unafikiri kuyasema maovu ya Mkapa utasaidia maovu ya kichaa mwendawazimu magufuli yasisemwe endeelea kujidanganya.Mbona unahaha haha sana kwenye hoja mkuu!?
Kiufupi muache UNAFIKI.
Wacheni double standards huo ni UNAFIKI wala sio utetezi wa haki.
Katika viongozi woooteee Mkapa kafa ila hukusikia yakizungumzwa maovu yake ilhali yeye muovu kupitiliza.
Ila mkayaona ya Magufuli tu!?
Watanzania bana.
Mpumbavu ni wewe na vichaa wenzako,pia unaonekana huna akili ya uelewa.Unajua punguza upumbavu wako. Ushetani wa magufuli utasemwa utake au usitake na huwezi kuwazuia watu wasiuseme, sawa!? Kama unafikiri kuyasema maovu ya Mkapa utasaidia maovu ya kichaa mwendawazimu magufuli yasisemwe endeelea kujidanganya.
Kumbe wewe unabishana!? Nilikuwa sijui. Nina shida kichwani kama kichaa mwendawazimu jpm au sio!? Hoja za kijanja mwambie baba yako azilete hapa jukwaani ,sawa!?Mpumbavu ni wewe na vichaa wenzako,pia unaonekana huna akili ya uelewa.
Una shida kichwani wewe,wacha nikuache siwezi bishana na mtu mwenye tatizo la uelewa.
Ila mwenye uelewa anajua nini nimemaanisha.
Kwanza mtu una hoja dhaifu mara ooh ameteka wasanii hoja za kipumbavu pumbavuu.
Ona unavyozidi kuonekana mpumbavu!Kumbe wewe unabishana!? Nilikuwa sijui. Nina shida kichwani kama kichaa mwendawazimu jpm au sio!? Hoja za kijanja mwambie baba yako azilete hapa jukwaani ,sawa!?
Huyo kabendera ni jasusi anayelipwa. Mission yake sasa ni kumchafua Magufuli maana mabeberu wanaona namna wanamagufuli wataweza kua na nguvu kuhusu nani awe rais ajaye. Ningemshauri awe na adabu kwani wapenzi na wafuasi wa fikra za kimagufuli wataweza kupoteza uvumilivu na kauli zake. Pia kitabu chake inafaa kipigwe marafuku maana ni kazi ya maadui wa nchi yetu.Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181