Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Devotha alikuwa pisi kali sana.Ushanielewa mkuu? Kwa kina Devotha na Solo. Inawezekana tumekutana hapo.
Sasa wale ndiyo Wasukuma wenyewe.
Siyo hawa wakimbizi wa Burundi wanaojibandika tu Usukuma.
Never been msukuma.Brother Kiranga, JPM alikuwa ni pure Msukuma, hajachanganya bleed.
Kwenye issue ya bhangi kwa kipindi chao siyo issue ya kushangaza kwani wamekulia kipindi cha revolution ya African countries and by then reggae ilitumika kama moja ya inspiration na watu/vijana wengi waliunga mkono so walijaribu baadhi ya vitu kama bhangi. Brother code zingine tusifungue sana unajua life ya baadhi ya vijana wa Obey ilivyokuwa influenced na reggae
Nikikuwa namzimia kwa mbali ile unamzimia lakini unajua huyu dada dada kabisa hata pa kuanzia mgogoro.Devotha alikuwa pisi kali sana.
🤣 Kabendera bado ana machungu maana alibatizwa Kwa muhuri wa motoKabendera hajapendezwa kabisa na neno RIP/Apumzuke kwa amani.Yeye ni kuwakera watu tu.
Kule ni wahamijia tu brother. Unajua wavuvi ni watu wa kutembea beach (Chato, Nela, Mganza etc)Traditionally hakuna Msukuma wa kutokea Biharamulo.
Babu, bibi, wazazi wote walikuwa Wasukuma but only he was not!Never been msukuma.
Mwacheni atoe hasira. Mwacheni ateme nyongo ili kifua chake sasa kipumue...Mi hata sielewi. Kwanini kumzuungumzia vibaya mtu ambaye hayupo katika ulimwengu huu? Ni nini wanahitaji? Kufuta legacy au kuwakwaza tu waliokuwa wafuasi wake?
Una prove vipi Magufuli ni Msukuma?Kule ni wahamijia tu brother. Unajua wavuvi ni watu wa kutembea beach (Chato, Nela, Mganza etc)
Tiss=TiccmKama ni kweli tisi walikuwa wapi
Kama alivuta bangi na hatimaye akawa Rais, wewe ambaye hukuvuta bangi uko wapi?Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Babu na bibi zake wote ni wazaliwa wa Mwanza (Nkome-Geita) then.Una prove vipi Magufuli ni Msukuma?
Tukiachana na issue ya ukabila hili la bhangi unaliongeleaje brother?Babu na bibi zake wote ni wazaliwa wa Mwanza (Nkome-Geita) then.
Hilo halithibitishi Usukuma.Babu na bibi zake wote ni wazaliwa wa Mwanza (Nkome-Geita) then.
Yap! Ila ni chanzo kikubwa cha ku-trace ukabila wa mtuHilo halithibitishi Usukuma.