Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Ushanielewa mkuu? Kwa kina Devotha na Solo. Inawezekana tumekutana hapo.

Sasa wale ndiyo Wasukuma wenyewe.

Siyo hawa wakimbizi wa Burundi wanaojibandika tu Usukuma.
Devotha alikuwa pisi kali sana.
 
Brother Kiranga, JPM alikuwa ni pure Msukuma, hajachanganya bleed.
Kwenye issue ya bhangi kwa kipindi chao siyo issue ya kushangaza kwani wamekulia kipindi cha revolution ya African countries and by then reggae ilitumika kama moja ya inspiration na watu/vijana wengi waliunga mkono so walijaribu baadhi ya vitu kama bhangi. Brother code zingine tusifungue sana unajua life ya baadhi ya vijana wa Obey ilivyokuwa influenced na reggae
Never been msukuma.
 
Yuko na magufuriiiíiiiiiiii forever,bangi ilianzia kwa magufuli? Viongozi wangapi waliwahi kufukuzwa shule wakawa hero baadaye? KABOLOSOKE,kabendera!!!!
 
Tuache na magufuriiiíiiiiiiii forever, viongozi wenye busara unao watukuza walifanya Nini Sasa,nchi ilikuwa imevunda uvundo ,KAFWALUKE
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Kama alivuta bangi na hatimaye akawa Rais, wewe ambaye hukuvuta bangi uko wapi?
 
Back
Top Bottom