Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Kwa hiyo tule kigongo Cha Kasumulu!(Dope).!
 
Moyo wangu una amani Sana juu ya Maisha ya JOHN POMBE MAGUFURI nasema haya kwa sababu ni aina ya watu wachache walio tuonyesha kua work must be done/ punda afe mzigo ufike. Waafrika wengi na watu weusi Wana ka uzembe ka kuzaliwa nako.

Hakua na longo longo ni mtu mwenye huruma na alituonyesha trela.. WATANZANIA wengi tunampenda/wanampenda Sanaa jamaa alikua jiwe kweli kweli/ chuma kweli kweli.. likitajwa jina lake mafisadi yanatetemeka..wapiga Dili wana jikojolea.. likitajwa jina la MAGUFURI WAZALENDO wanagonga cheers

NB.
Kabendera anacho kifanya binafsi nimejikuta na kerwa/ kasirika/ chukia/ je watu wa familia ya JPM/ wanajisikiaje/ watajisikiaje / haikubarik na huu upotoshaji... kabendera must pay for it.
 
Hivi mahakama ya mafisadi ilifanya kazi??
 
Anaweza sema lolote kwa sasa kipi anafaidika kama ndani alishalazwa yeye ni mchumba tu kwa jpm!
 
Kwanini Magufuli anasomeka katika dark side pekee tu ?

Je alikosea wapi hasa.


Binafsi kuna mambo nilijifunza kupitia yeye ikiwemo kutoa matokeo Kwa wakati na kuishi katika limitless world.


Biashara baadhi ziliyumba
Demokrasia ilikuwa chini
Matumizi mabaya ya madaraka
Kuongezeka Kwa majobless wengi n.k

Ila pia kuna mambo chanya mengi akifanya .

Ikiwa tutajadili ubaya , ubaya hii itakuja kuua Morales Kwa viongozi wengine watakaoamu kujitoa ili kuleta the true changes.
 
Hata Magufuli ni Mrundi, what's your point?
"Magufuli is not Burundian"
My point is that Erick is Burundian and is being used by thugs to tarnish Magufuli's reputation, considering that Magufuli has already passed away and cannot defend himself!

I expected Samia to take strong action against Erick for spreading nonsense online."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…