Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Naona hadi wasiopendwa leo wanatumika kuweka references, dunia ina majanga hii.

Huyo kabendera amechokonoa hayo ili kufidia madhira aliyofanyiwa, ila haiwezi kuondoa uongo/ukweli kwamba si John tu aliyewahi kuvuta bangi au kufukuzwa shule na bado akawa kiongozi.

Kuwa smart shule au mwema siyo kigezo cha kuwa kiongozi.

Uongozi ni karama.
Kwa hiyo tule kigongo Cha Kasumulu!(Dope).!
 
Moyo wangu una amani Sana juu ya Maisha ya JOHN POMBE MAGUFURI nasema haya kwa sababu ni aina ya watu wachache walio tuonyesha kua work must be done/ punda afe mzigo ufike. Waafrika wengi na watu weusi Wana ka uzembe ka kuzaliwa nako.

Hakua na longo longo ni mtu mwenye huruma na alituonyesha trela.. WATANZANIA wengi tunampenda/wanampenda Sanaa jamaa alikua jiwe kweli kweli/ chuma kweli kweli.. likitajwa jina lake mafisadi yanatetemeka..wapiga Dili wana jikojolea.. likitajwa jina la MAGUFURI WAZALENDO wanagonga cheers

NB.
Kabendera anacho kifanya binafsi nimejikuta na kerwa/ kasirika/ chukia/ je watu wa familia ya JPM/ wanajisikiaje/ watajisikiaje / haikubarik na huu upotoshaji... kabendera must pay for it.
 
Hivi mahakama ya mafisadi ilifanya kazi??
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Anaweza sema lolote kwa sasa kipi anafaidika kama ndani alishalazwa yeye ni mchumba tu kwa jpm!
 
Kwanini Magufuli anasomeka katika dark side pekee tu ?

Je alikosea wapi hasa.

Binafsi kuna mambo nilijifunza kupitia yeye ikiwemo kutoa matokeo Kwa wakati na kuishi katika limitless world.

Biashara baadhi ziliyumba
Demokrasia ilikuwa chini
Matumizi mabaya ya madaraka
Kuongezeka Kwa majobless wengi n.k

Ila pia kuna mambo chanya mengi akifanya .

Ikiwa tutajadili ubaya , ubaya hii itakuja kuua Morales Kwa viongozi wengine watakaoamu kujitoa ili kuleta the true changes.
 
Hata Magufuli ni Mrundi, what's your point?
"Magufuli is not Burundian"
My point is that Erick is Burundian and is being used by thugs to tarnish Magufuli's reputation, considering that Magufuli has already passed away and cannot defend himself!

I expected Samia to take strong action against Erick for spreading nonsense online."
 
Back
Top Bottom