Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Ni kweli alikuwa hivyo ila siwezi thibitisha, ninachojua kila mtu sasa hv wanamatatizo ya akili ndio maana natamani niwasaidie wanaume wasipate stress kwa kweli
 
Alifanya mazuri mengi yapi tofaut na watangulizi wake,...
Hii nchi alivyoiacha Nyerere ndio ilivyo hivi Sasa na je yeye ndo kaifanya hivi ilivyo Sasa..
Tuseme t alipenda publicity na kuonekana yeye kwenye kila kitu na sifa nyingi.
hata vyoo vya shule ya msingi alitaka akazindue yeye mwenyew ili apate platform ya kunanga wabaya wake.
Jamaa ametusababishia maisha magumu kweli na itatuchkua muda sana kukaa sawa.
Huwez kukaa miaka saba hujajiri na matajiri wanaotegemewa wafanye kazi hiyo unawafukuza Kwa mizengwe kifupi jamaa alikua na roho mbaya sana na mtu aliejifkiria yeye mwenyew.
 
Msikilize Sheikh Ghassani akifanya mahojiano na Eric Kabendera kuhusu kitabu chake na mengi mengine.


View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=4QpdGYaV7b42UJjx
Unaongelea ukorofi secondary zamani zile Fomu 1 anaitwa Nyoya, Ameoba huyu vipi yeye ndio bhangi kabisa,tunajua rastafariani wote wanavuta bhangi. Huyu si mole, mi najua anachezea oil atachafuka yeye mqenyewe afterall anayeshindana naye hayupo. Ata achieve nothing, zaidi anaitukana serkali iliyopo kwa kuwahusisha, hivyo anajitengenezwa adui wapya. Hazimo humo
 
Ni kweli alivunja kioo cha shule!
Kabendera atuambie baada ya kufukuzwa Seminari alienda shule gani?
Alipataje ualimu?
 

Attachments

  • AZAM TV - MAGUFULI ATEMBELEA SHULE ALIYOSOMA(360P).mp4
    9.4 MB
Kama ni mole tu na hato achieve chochote kwa nini umepoteza muda wako ku comment hapa?

Najua mmeumia sana kuusikia ukweli. Mtu wenu alikuwa dhalimu. Na huu ni ukweli ambao hautafutika kamwe.
 

ni kweli, ila Jiwe hakuwa kiongozi bali mtawala
 
Ifike hatua sasa tuanze kujulishwa kuhusu watu wote waliotekwa na kuwekwa ndani enzi za Magufuli ni walikua wamekosea nini? Walau Ben saa8 inajulikana, alikosoa phd ya Magufuli; huyu tunaweza kusema pasipo shaka kabisa kwamba alionewa, hope hata Magufuli huko aliko lazima atakua anajutia hilo cause ugomvi wao ulikua ni personal, hauna uhusiano wowote na urais au usalama wa nchi; kuna viongozi wengi tu, wanaitwa ma dokta while degree zao za kwanza tu ni questionable, King Msukuma nae ni Dr. Kwasasa, kapewa so ile ya JPM iwe ya kwelu au sio ya kweli haikua na issue yoyote kiurais so Ben saa nane hakuyakiwa kupotea kwasababu hizo. Lakini kuhusu makara za Kabendera, hivi kuna mwandishi wa say Uingereza au Marekani anaweza kuandika habari za siri za nchi yake halafu mwandishi huyo huyo akawa salama nchini mwake? Why yule shushushu wa USA anatafutwa hadi leo? Why kakimbilia nchi hasimu na USA? Kuhusu kuvuta bangi kwa Magufuli, hivi si kuna nchi zikowepo hizo ambazo Kabendera alikokimbilia zina ruhusu uvutaji wa bangi? Well, kati ya viongozi waliopo na waliopita, ukiwaweka kwenye mizani ya wananchi, unadhani Magufuli atashika nafasi ya ngapi? Twitter walikaribu kupigisha kura, Magufuli aliongoza; gazeti la Mwananchi pia walipigisha KURA, again marehemu aliongoza. So machoni pa watu wa kawaida, bado Magufuli anatazamwa kwa jicho tofauti na mitazamo ya kina Kabendera, tutafakari. Je wananchi hawana akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…