Obama alikiri kuvuta weed wakati alipokuwa kijana.Bill Clinton alivuta, Kamila Mhindi Mjamaica alivuta,
Nyerere Naye alikuwa na Tatizo lakini alijuwa jinsi ya kuli mudu tatizo lake.
Na kiukweli Binadamu wengi wana matatizo Yao ya kiasili au kimaumbile, lakini wanajua jinsi ya kuyathibiti kwa namna fulani mapungufu yao
Mshitakini basi mahakamani tuone movie zima likoje.Unaongelea ukorofi secondary zamani zile Fomu 1 anaitwa Nyoya, Ameoba huyu vipi yeye ndio bhangi kabisa,tunajua rastafariani wote wanavuta bhangi. Huyu si mole, mi najua anachezea oil atachafuka yeye mqenyewe afterall anayeshindana naye hayupo. Ata achieve nothing, zaidi anaitukana serkali iliyopo kwa kuwahusisha, hivyo anajitengenezwa adui wapya. Hazimo humo
Issue ni matokeo.....Kuvuta bangi sio ishu. George Walker Bush alikuwa Rais wa Marekani na Wamarekani wote walikuwa wanajua alikuwa anavuta bangi!
Tena atakuja Askofu Niwemugizi kuja kuthibitisha kuwa walimfukuza Katoke Seminary kutokana na kuvuta bangiMshitakini basi mahakamani tuone movie zima likoje.
Aje Samia kutoa ushahidi kama Jiwe alimuibukia kweli na pajama akitaka mzigo 🤣🤣🤣
Jiwe alimuwekea Askofu kisasi miaka nenda rudi, halafu akamzushia kesi feki ya uraia mpaka kanisa likaingilia kati.Tena atakuja Askofu Niwemugizi kuja kuthibitisha kuwa walimfukuza Katoke Seminary kutokana na kuvuta bangi
Hata Tanzania siyo issue?Kuvuta bangi sio ishu. George Walker Bush alikuwa Rais wa Marekani na Wamarekani wote walikuwa wanajua alikuwa anavuta bangi!
Huyu ndo ana institution memory ya uzandiki wa Magufuli tangu akiwa Katoke Seminary. Ndo mana jiwe alimtesa sana akiamini anafanya kisasi kwa namna mapadre walivyomshughulikia akiwa pale Seminary.Jiwe alimuwekea Askofu kisasi miaka nenda rudi, halafu akamzushia kesi feki ya uraia mpaka kanisa likaingilia kati.
Kisha akamuomba msamaha na kumuomba amzike.
Askofu hakuwa na kinyongo akasema Wakristo tumeambiwa kusamehe saba mara sabini.
Jiwe akili zake alizijua mwenyewe.
View: https://youtu.be/hjhAlqxCIe8?si=WwCl7v0tF3-L3HfI
Hawawezi kufuta ukweli kuwa alifanya vizuri katika kipindi chake. Makosa kila Binadamu anayo.Mi hata sielewi. Kwanini kumzuungumzia vibaya mtu ambaye hayupo katika ulimwengu huu? Ni nini wanahitaji? Kufuta legacy au kuwakwaza tu waliokuwa wafuasi wake?
Huyu Kabendera alikutana na mateso makubwa awamu ya tano, Mama yake Mzazi alifariki wakati yupo kifungoni tena huyo Mama alilia sana akitaka kumuona mwanae wakati akiwa hoi mgonjwa na ikashindikana.Hahaa bado mna muandama Marehemu
Watu wa mkoa wa Kagera wanajua sana kuukana mkoa wao na asili zaoKabendera ni muhaya .
Na kiasili ni mrundi na magufuli kiasili ni mrundi hata Mimi kiasili ni Mnyarwanda japo ni muhaya
Mimi Bibi yangu mzaa mama ni mganda Ila kiasili ni mtusi na Bibi mzaa baba ni muhaya Ila kiasili ni mtu wa Ethiopia
Mimi nina list ya koo zote za Kisukuma kutoka kwa Chief David Kidaha Makwaia.
Magufuli hajulikani ana fit wapi.
Koo zote za Kisukuma zinajulikana.
Hawa wengine Warundi, Wakonongo, Wazinza, etc., wanalowea Usukumani na kujua Kisukuma, wanajiita Wasukuma.
Kabendera anasema kweli. Matendo ya Magufuli yanathibitisha hilo pasi na shaka!Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Ahahahahaha!!!Kumbavu ndiyo nini wewe ngumbaru wakuja country bumpkin?
Alifikia ngazi ya kuwa Rais. Wewe ambaye haukuvuta umefikia wapi zaidi ya kutumia jina bandia JF? Ahahahahaha!!!Issue ni matokeo.....
Inawezekana alikuwa Mzinza huko huko Mwanza, Mama yake alikuwa Mhaya.Ndivyo ilivyokuwa kwa Magufuli, adapt ya kabila. Kiukweli hakuwa Msukuma, wengine wanasema alikuwa Msubi. Msubi, Msubi wa Chato.