Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Bill Clinton alivuta, Kamila Mhindi Mjamaica alivuta,

Nyerere Naye alikuwa na Tatizo lakini alijuwa jinsi ya kuli mudu tatizo lake.

Na kiukweli Binadamu wengi wana matatizo Yao ya kiasili au kimaumbile, lakini wanajua jinsi ya kuyathibiti kwa namna fulani mapungufu yao
Obama alikiri kuvuta weed wakati alipokuwa kijana.
 
Unaongelea ukorofi secondary zamani zile Fomu 1 anaitwa Nyoya, Ameoba huyu vipi yeye ndio bhangi kabisa,tunajua rastafariani wote wanavuta bhangi. Huyu si mole, mi najua anachezea oil atachafuka yeye mqenyewe afterall anayeshindana naye hayupo. Ata achieve nothing, zaidi anaitukana serkali iliyopo kwa kuwahusisha, hivyo anajitengenezwa adui wapya. Hazimo humo
Mshitakini basi mahakamani tuone movie zima likoje.

Aje Samia kutoa ushahidi kama Jiwe alimuibukia kweli na pajama akitaka mzigo 🤣🤣🤣
 
Mshitakini basi mahakamani tuone movie zima likoje.

Aje Samia kutoa ushahidi kama Jiwe alimuibukia kweli na pajama akitaka mzigo 🤣🤣🤣
Tena atakuja Askofu Niwemugizi kuja kuthibitisha kuwa walimfukuza Katoke Seminary kutokana na kuvuta bangi
 
Tena atakuja Askofu Niwemugizi kuja kuthibitisha kuwa walimfukuza Katoke Seminary kutokana na kuvuta bangi
Jiwe alimuwekea Askofu kisasi miaka nenda rudi, halafu akamzushia kesi feki ya uraia mpaka kanisa likaingilia kati.

Kisha akamuomba msamaha na kumuomba amzike.

Askofu hakuwa na kinyongo akasema Wakristo tumeambiwa kusamehe saba mara sabini.

Jiwe akili zake alizijua mwenyewe.

View: https://youtu.be/hjhAlqxCIe8?si=WwCl7v0tF3-L3HfI
 
Huyu ndo ana institution memory ya uzandiki wa Magufuli tangu akiwa Katoke Seminary. Ndo mana jiwe alimtesa sana akiamini anafanya kisasi kwa namna mapadre walivyomshughulikia akiwa pale Seminary.

Nchi hii ni Mungu tu anatusaidia ila tuna wanasiasa wa hovyo sana na hao ndo wanakuja kuwa viongozi
 
Hahaa bado mna muandama Marehemu
Huyu Kabendera alikutana na mateso makubwa awamu ya tano, Mama yake Mzazi alifariki wakati yupo kifungoni tena huyo Mama alilia sana akitaka kumuona mwanae wakati akiwa hoi mgonjwa na ikashindikana.

Mtu wa aina hiyo hawezi kuandika pambio kumhusu marehemu JPM ni lazima atamsagia kunguni ili angalau vidonda vilivyopo moyoni mwake viweze kupona.
 
Kabendera ni muhaya .

Na kiasili ni mrundi na magufuli kiasili ni mrundi hata Mimi kiasili ni Mnyarwanda japo ni muhaya

Mimi Bibi yangu mzaa mama ni mganda Ila kiasili ni mtusi na Bibi mzaa baba ni muhaya Ila kiasili ni mtu wa Ethiopia
Watu wa mkoa wa Kagera wanajua sana kuukana mkoa wao na asili zao
 
Mimi nina list ya koo zote za Kisukuma kutoka kwa Chief David Kidaha Makwaia.

Magufuli hajulikani ana fit wapi.

Koo zote za Kisukuma zinajulikana.

Hawa wengine Warundi, Wakonongo, Wazinza, etc., wanalowea Usukumani na kujua Kisukuma, wanajiita Wasukuma.

Ndivyo ilivyokuwa kwa Magufuli, adapt ya kabila. Kiukweli hakuwa Msukuma, wengine wanasema alikuwa Msubi. Msubi, Msubi wa Chato.
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Kabendera anasema kweli. Matendo ya Magufuli yanathibitisha hilo pasi na shaka!
 
Back
Top Bottom