Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Wendawazimu tu ndio waliona magufuli kama mtu wa maana. Wenye akili wote walijuwa kuwa magufuli ni takataka.
Lakini takataka smart iliyotawala watanzania milioni 60........na kuwapatia huduma stahiki kuanzia hospital mpaka kwenye huduma nyingine za kijamii zaidi...........basi bora kichaa kuliko hili remba na macho mdondoko .................
 
Kazi kweli kweli
 
Kwanini pamoja Na usomi wake kabendera muonekano wake hauko safi Hasa izo ndefu Yuko rough Sana hayuko smart
 
Sisi kama wasukuma asilia tumemtangazia Eric kaflagi FWATA popote alipo.....
Na itanfwata popote alipo hata ajifuje wapi ?
Yaani tangu Magu alipoingia madarakani mkaanza ukabila wakati hakuwa hivi, nimeona wengi humu mliotoka na povu ni sukuma. Naamini alikuwa anavuta bangi Hadi mwisho WA maisha Yake
 
Hakuna mtu anayevuta bangi akawa na PHD kama mwendazake,wavuta bangi wa Tz wote wamevurugwa tu hakuna mvuta bangi hapa Tanzania akawa amefanikiwa kitaaluma .
 
Born in Tanzania but with Burundian origin,illegal immigrant.
 
Koo zote za Kisukuma zinajulikana.

Hawa wengine Warundi, Wakonongo, Wazinza, etc., wanalowea Usukumani na kujua Kisukuma, wanajiita Wasukuma.

Mtu mzima unazungumzia ukabila.. unadhani ni jambo la maana sana kujua kabila la mtu. Unataka kutambika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…