much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kuna koo ngapi za kisukuma?Koo zote za Kisukuma zinajulikana.
Hawa wengine Warundi, Wakonongo, Wazinza, etc., wanalowea Usukumani na kujua Kisukuma, wanajiita Wasukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna koo ngapi za kisukuma?Koo zote za Kisukuma zinajulikana.
Hawa wengine Warundi, Wakonongo, Wazinza, etc., wanalowea Usukumani na kujua Kisukuma, wanajiita Wasukuma.
Wapo humu wanapambana kutetea legasiWazee wa legasi wanatoa macho tu.
Lakini takataka smart iliyotawala watanzania milioni 60........na kuwapatia huduma stahiki kuanzia hospital mpaka kwenye huduma nyingine za kijamii zaidi...........basi bora kichaa kuliko hili remba na macho mdondoko .................Wendawazimu tu ndio waliona magufuli kama mtu wa maana. Wenye akili wote walijuwa kuwa magufuli ni takataka.
Bro tukianza kuchunguzana watu waliowahi kuvuta bangi nchi hii usijeshangaa kukuta wazazi wako wamo kwenye orodha!Hata Tanzania siyo issue?
Kazi kweli kweliNi Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Kwanini pamoja Na usomi wake kabendera muonekano wake hauko safi Hasa izo ndefu Yuko rough Sana hayuko smartNi Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Hana Mke 🤣🤣🤣Kwanini pamoja Na usomi wake kabendera muonekano wake hauko safi Hasa izo ndefu Yuko rough Sana hayuko smart
Yaani tangu Magu alipoingia madarakani mkaanza ukabila wakati hakuwa hivi, nimeona wengi humu mliotoka na povu ni sukuma. Naamini alikuwa anavuta bangi Hadi mwisho WA maisha YakeSisi kama wasukuma asilia tumemtangazia Eric kaflagi FWATA popote alipo.....
Na itanfwata popote alipo hata ajifuje wapi ?
Hili sio jipya hata Dialo alishasema nchi ilikuwa chini ya kichaa.Kama ni kweli tisi walikuwa wapi
Hata Samia kimyaaWatu wote waliofanya kazi na JPM kimyaaa.Kweli asiyekuepo na lake halipo.
Jamaal Yuko rough sanaHana Mke 🤣🤣🤣
Inashangaza sana,tuwape muda labda.Hata Samia kimyaa
Born in Tanzania but with Burundian origin,illegal immigrant.To support the statement "Magufuli is not Burundian
1. Birthplace and Nationality: John Magufuli was born on October 29, 1959, in Chato, Tanzania. His nationality is well-documented as Tanzanian, as evidenced by official records, biographies, and government documents.
2. Political Career: Magufuli's entire political career was based in Tanzania. He served as a Member of Parliament for Chato and held various ministerial positions before becoming President. His policies and actions were focused on Tanzanian issues.
3. Official Recognition: Magufuli was elected as the President of Tanzania in 2015 and was re-elected in 2020. His presidency was recognized and validated by both national and international bodies, affirming his role as a Tanzanian leader.
4. Media Coverage: Numerous reputable news sources and biographies confirm his Tanzanian identity. Articles from organizations like BBC, Al Jazeera, and Reuters provide background on his life and career, consistently identifying him as Tanzanian.
Regarding my point about Erick Kabendera, I believe he is being used to tarnish Magufuli's reputation, it reflects the ongoing tensions in Tanzanian politics, especially surrounding criticism of past leaders.
Kakudanganya nani wapo PhD holders kibao wa kibongo ambao wanapiga kitu.Hakuna mtu anayevuta bangi akawa na PHD kama mwendazake,wavuta bangi wa Tz wote wamevurugwa tu hakuna mvuta bangi hapa Tanzania akawa amefanikiwa kitaaluma .
Koo zote za Kisukuma zinajulikana.
Hawa wengine Warundi, Wakonongo, Wazinza, etc., wanalowea Usukumani na kujua Kisukuma, wanajiita Wasukuma.
Alikuwa mhutuJohn alikuwa msugunsu/msukuma?
Utakuwa msukumaThe government should take action against Kabendera so that he faces the consequences, serving as a lesson for those seeking attention