Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Sisi tutaendelea kuiangalia legacy yake na uchapakazi wake na maono yake !
Blah blah nyinginezo tutawaachia wabaya wake waliopitiwa na Tingatinga !!
Haitotokea mafisadi wapigaji na wabadhirifu waliomo Nchini wakamsema vizuri Magufuli au wakamsema vizuri Nyerere !

Hiyo haitotokea hata siku moja !
Lakini upepo unaendelea kubadilika taratibu Africa inaanza kujitambua !

Tafuta hotuba ya Ibrahima Traore kwenye mkutano wa Brics !
Ingia YOUTUBE !!
 
"Magufuli is not Burundian"
My point is that Erick is Burundian and is being used by thugs to tarnish Magufuli's reputation, considering that Magufuli has already passed away and cannot defend himself!

I expected Samia to take strong action against Erick for spreading nonsense online."
Prove your so called point.
 
The government should take action against Kabendera so that he faces the consequences, serving as a lesson for those seeking attention
The government should use Kabendera's book to do other things related to, including investigation on the accusations made by him! Magufuli is alleged to shoot Ben Sanane on his head in the state house. Therefore if need be the dilemma of the whereabouts of other people such as Azory Gwanda whose family and workmates and fellow Tanzanians are still skeptical on where are they!
 
Sisi tutaendelea kuiangalia legacy yake na uchapakazi wake na maono yake !
Blah blah nyinginezo tutawaachia wabaya wake waliopitiwa na Tingatinga !!
Haitotokea mafisadi wapigaji na wabadhirifu waliomo Nchini wakamsema vizuri Magufuli au wakamsema vizuri Nyerere !

Hiyo haitotokea hata siku moja !
Lakini upepo unaendelea kubadilika taratibu Africa inaanza kujitambua !

Tafuta hotuba ya Ibrahima Traore kwenye mkutano wa Brics !
Ingia YOUTUBE !!
Ufisadi:
Hebu elezea kinaga ubaga 20,000/= za vitambulisho vya machinga zilizokua zinakusanywa Kwa nguvu zilikusanywa Kwa Sheria ipi ya fedha iliyotungwa na Bunge, Zikihifadhiwa kwenye account Gani na jumla yake ilikua ni kiasi Gani?
 
Mimi namuelewa sana Kabendera nahisi ni namna yake ya kupunguza hasira alizokuwa nazo kipindi cha utawala wa JPM. Kabendera ni mojawapo ya watu walioteseka sana na mpaka mzazi wake(Mama) yake alikuwa akihuzunika hata kupelekea kifo chake. Ni ukweli usiopingika JPM amefanya makubwa sana kwa TZ lakini kuna baadhi ya watu aliwatesa sana kwa hiyo kama hayakukuta huwezi ukajua uchungu wake.
 
Prove your so called point.
To support the statement "Magufuli is not Burundian

1. Birthplace and Nationality: John Magufuli was born on October 29, 1959, in Chato, Tanzania. His nationality is well-documented as Tanzanian, as evidenced by official records, biographies, and government documents.

2. Political Career: Magufuli's entire political career was based in Tanzania. He served as a Member of Parliament for Chato and held various ministerial positions before becoming President. His policies and actions were focused on Tanzanian issues.

3. Official Recognition: Magufuli was elected as the President of Tanzania in 2015 and was re-elected in 2020. His presidency was recognized and validated by both national and international bodies, affirming his role as a Tanzanian leader.

4. Media Coverage: Numerous reputable news sources and biographies confirm his Tanzanian identity. Articles from organizations like BBC, Al Jazeera, and Reuters provide background on his life and career, consistently identifying him as Tanzanian.

Regarding my point about Erick Kabendera, I believe he is being used to tarnish Magufuli's reputation, it reflects the ongoing tensions in Tanzanian politics, especially surrounding criticism of past leaders.
 
The government should use Kabendera's book to do other things related to, including investigation on the accusations made by him! Magufuli is alleged to shoot Ben Sanane on his head in the state house. Therefore if need be the dilemma of the whereabouts of other people such as Azory Gwanda whose family and workmates and fellow Tanzanians are still skeptical on where are they!
I totally reject the idea that the government should use Kabendera's book as a basis for investigations! Reasons:

1. Credibility and Intent: Using Kabendera's book for governmental investigations may undermine its intended purpose. His work should be viewed as a critical reflection on societal issues rather than a tool for state actions.

2. Due Process: Investigations into serious allegations, such as the one involving Magufuli, should follow established legal protocols rather than rely on potentially biased or sensationalized accounts.

3. Focus on Accountability: The government should prioritize accountability and transparency through independent investigations rather than using external narratives to justify actions, which could be seen as politically motivated.

4. Respect for Human Rights: Addressing the disappearances of individuals like Azory Gwanda requires a focus on human rights and due process, rather than conflating these cases with broader accusations without clear evidence.
 
Erick Kabendera is spreading falsehoods online.

For example, he claims that John Magufuli was expelled from Katoke Seminary due to marijuana use, and that his teachers stated he had mental health issues.

After writing such nonsense, the government listens to him and observes rather than taking strict action against him.
 
To support the statement "Magufuli is not Burundian

1. Birthplace and Nationality: John Magufuli was born on October 29, 1959, in Chato, Tanzania. His nationality is well-documented as Tanzanian, as evidenced by official records, biographies, and government documents.

2. Political Career: Magufuli's entire political career was based in Tanzania. He served as a Member of Parliament for Chato and held various ministerial positions before becoming President. His policies and actions were focused on Tanzanian issues.

3. Official Recognition: Magufuli was elected as the President of Tanzania in 2015 and was re-elected in 2020. His presidency was recognized and validated by both national and international bodies, affirming his role as a Tanzanian leader.

4. Media Coverage: Numerous reputable news sources and biographies confirm his Tanzanian identity. Articles from organizations like BBC, Al Jazeera, and Reuters provide background on his life and career, consistently identifying him as Tanzanian.

Regarding my point about Erick Kabendera, I believe he is being used to tarnish Magufuli's reputation, it reflects the ongoing tensions in Tanzanian politics, especially surrounding criticism of past leaders.
No.

Prove Kabendera is Burundian.
 
Erick Kabendera should undergo a mental health evaluation

This assertion implies that there are significant concerns regarding Kabendera's mental health, which may stem from his controversial public statements or actions. Such a suggestion typically arises when individuals believe that someone's behavior is erratic, irrational, or not grounded in reality.

The call for a mental health evaluation indicates a belief that Kabendera's behavior or opinions are sufficiently concerning to warrant professional scrutiny. It suggests that his views, which may be seen as provocative or baseless, could be a result of mental health issues that need to be assessed by a qualified professional.

Overall, this statement reflects a serious concern about Kabendera’s mental well-being, suggesting that his public commentary might not only be controversial but could also be influenced by underlying mental health challenges. This kind of evaluation would aim to understand his cognitive and emotional state, ensuring that any issues are appropriately addressed.
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Enzi zetu usipovuta Bangi ulionekana shoga

Hata Wewe Kinembe ungekuwa ulishazaliwa usingeolewa na muuza Uduvi enzi zile 🐼
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Kwa mila zetu za Kiafrika Malehemu asemwi vibaya! Juu ya Ishu ya kuvunja Dirisha.... ata Vyombo vya habari hapa Tanzania Viliwai mwonyesha Mweshimiwa akielezea hili sakata la kuvunja Dirisha ambalo ata alipotembelea hiyo Shule akiwa kama rais alilikuta bado alijajengwa- Na yeye Mweshimiwa Rais alitoa pesa ili litengenezwe tena upya ....

Ishu ya Bange sijui nini! Kila mmoja wetu tumepita age ya Magufuli na sisi sote tu wakosefu mbele ya Walimu, Maboss zetu na pengine ata tukiwa JKT... Bwana Kama wewe Ungehesabu Maovu Yetu ni nani angeweza simama mbele yako....Raha ya Milele Uwape ee Bwana na Mwanga wa milele uwaangazie .... Mungu wetu tunaomba uendelee kuwapa pumziko la milele waliowai kuwa Marais wetu🙏
 
Attachments

  • IMG_2876.jpeg
    IMG_2876.jpeg
    214.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom