M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
The difference ni kwamba ya Ben ilikuwa personal whilst that 'Desh Desh Yanga' dude was just a random hustler doing illegal business.Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Hakuna mhaho hakuna ushahidiWewe ndiye ulitakiwa uje na majibu halafu ukawahiwa?Mbona mhaho mwingi?
Mpaka leo huwa kunaandikwa vitabu vingi tu vya matendo ya watu ambao wameshafariki, Jiwe ni special kiasi gani mpaka na yake yasiandikwe.hakuna ukweli wowte kuhusu icho kitabu.. wote wawili wameshafariki kwaio mwandishi anaweza kuongea chochote ata akisema walikula biriani kwanza na wakaogelea swimingpool kisha ndo akamuua bado ni yale yale.. mm naona hakutakiwa kuongelea ivo vitu
Swali la member ni kama una uhakika huo ni uongo ina maana unaujua ukweli, very logical question.Hamna chochote kilichotokea ukitaka ujue utapeli wa kibenndera ni hiyo picha aliyotumia
Ndiye Rais alikua anatembea na walinzi kibao. Atembee nayo ya nini?
Chura kiziwi yuko busy anakisoma hicho kitabu.Rais Dr. Samia Tafadhali Toa Amri Kabendera atiwe nguvuni na kitabu chake kisiuzwe tena. Sentensi hiyo kuhusu Ben Saanane haina Affidavit.
Rudi hapa ukishajua hiyo picha ilipigwa wapi na kulikua na tukio gani
💯✔️anayempinga kabendera apinge kwa andishi Ben saanane Yuko wapi anafanya nn
Lissu anauliza upo upande gani mbona huna msimamo!Hakuna aya yoyote kwenye vitabu vya Mungu iliyoagiza tumsamehe Shetani
Picha inajulikana ilipigwa wapi na kwa minajili gani, in case you don't know pistol(si za kununua mtaani) huwa zina makasha sasa inakuwaje uitoe kiunoni wakati wa ukaguzi? Ni kwamba kwa huyo mtu and in this specific case I mean Jiwe pale ndiyo natural position ya pistol yake.Rudi hapa ukishajua hiyo picha ilipigwa wapi na kulikua na tukio gani
Hii nchi bhana, kwani kitabu anauza akiwa wapi tujue pia...?Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981
Lile kundi alilolianzisha Jiwe bado lipo, SASHA analiendeleza.Hadithi za kipumbafu kabisa...
Namshukuru Mungu, mauwaji na utekaji haujaisha...
Hivyo watu wanaotumia akili zao wanajua tatizo liko wapi.
Hakuna kisichowezekana mkuuAssassination of Laurent-Désiré Kabila - Wikipedia. Mbona rais wa DRC Congo Laurent Kabila aliuwawa ofisini kwake ikulu, tena na mlinzi wake.Mkuu Ikulu uulie mtu kweli, embu jenga picha!
Pistol itakaa kiunoni au mguuni.Picha inajulikana ilipigwa wapi na kwa minajili gani, in case you don't know pistol(si za kununua mtaani) huwa zina makasha sasa inakuwaje uitoe kiunoni wakati wa ukaguzi? Ni kwamba kwa huyo mtu and in this specific case I mean Jiwe pale ndiyo natural position ya pistol yake.
Kama usalama wanajua ni Jiwe aliyehusika(ambayo kiuhalisia ni one of the possibilities) hawawezi kuingilia kwani itakuwa ni kutia petrol kwenye moto, they're just praying hili nalo lipite watu wasahau.Usalama wa taifa mko wapi mpaka kitabu chenye madai mazito kama hayo tena kwa mtu mwenye cheo cha rais mnaruhusu kiuzwe?
Ipo siku, mh rais atakuja kuulizwa maswali kuhusu jambo hili na vyombo vya habari vya kimataita tena akiwa kwenye angle mbaya na atapata kigugumizi kulijibu. Trust me, Ni ishu ya muda tu.
Exactly, otherwise angeitoa kwenye kasha lake la kuhifadhia pistol. Kama umeshawahi kumiliki silaha definitely you know what I mean.Pistol itakaa kiunoni au mguuni.
Hii picha moja inatakiwa iconclude kwamba siku zote alikua anatembea na pistol?
Hebu weka facts za ukweli ili uongo uumbuliwe once and for all.Aisee huyu kabendera ndiyo anaandika uongo kiasi hiki, jinga sana. Uzuri mavuno ni hapa hapa duniani. Mungu atamlipia kwa huu uongo wake