Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
The difference ni kwamba ya Ben ilikuwa personal whilst that 'Desh Desh Yanga' dude was just a random hustler doing illegal business.
 
hakuna ukweli wowte kuhusu icho kitabu.. wote wawili wameshafariki kwaio mwandishi anaweza kuongea chochote ata akisema walikula biriani kwanza na wakaogelea swimingpool kisha ndo akamuua bado ni yale yale.. mm naona hakutakiwa kuongelea ivo vitu
Mpaka leo huwa kunaandikwa vitabu vingi tu vya matendo ya watu ambao wameshafariki, Jiwe ni special kiasi gani mpaka na yake yasiandikwe.
Acha aandikwe kama wanavyoandikwa mahasidi wengine ambao nao ni marehemu, kuamini au kitokuamini ni juu ya msomaji mwenyewe.
 
🤔
 

Attachments

  • 20241216_203351.jpg
    20241216_203351.jpg
    64.1 KB · Views: 2
Comments ziko kishabiki zaidi, wale wanaosema hawawezi kuamini hicho kitabu bila 'solid evidence' majority yao kama indeandikwa kwa ni Mbowe wangeshangilia bila ya kutaka kujiuliza juu ya hizo 'solid evidence' na support hicho kitabu(kabla hata ya kukisoma) ingedaiwa ni Mbowe alihusika wangekataa na kuuliza kwa nini polisi hawakutaka kufanya upelelezi ili wahusika wakamatwe.
Tanzania is so divided na huu mpasuko unatengenezwa na wanasiasa.
 
Rudi hapa ukishajua hiyo picha ilipigwa wapi na kulikua na tukio gani
Picha inajulikana ilipigwa wapi na kwa minajili gani, in case you don't know pistol(si za kununua mtaani) huwa zina makasha sasa inakuwaje uitoe kiunoni wakati wa ukaguzi? Ni kwamba kwa huyo mtu and in this specific case I mean Jiwe pale ndiyo natural position ya pistol yake.
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981
Hii nchi bhana, kwani kitabu anauza akiwa wapi tujue pia...?
Mbagala, Mwanjelwa, au ...

anyway Yatapita tu...
 
Picha inajulikana ilipigwa wapi na kwa minajili gani, in case you don't know pistol(si za kununua mtaani) huwa zina makasha sasa inakuwaje uitoe kiunoni wakati wa ukaguzi? Ni kwamba kwa huyo mtu and in this specific case I mean Jiwe pale ndiyo natural position ya pistol yake.
Pistol itakaa kiunoni au mguuni.

Hii picha moja inatakiwa iconclude kwamba siku zote alikua anatembea na pistol?
 
Usalama wa taifa mko wapi mpaka kitabu chenye madai mazito kama hayo tena kwa mtu mwenye cheo cha rais mnaruhusu kiuzwe?


Ipo siku, mh rais atakuja kuulizwa maswali kuhusu jambo hili na vyombo vya habari vya kimataita tena akiwa kwenye angle mbaya na atapata kigugumizi kulijibu. Trust me, Ni ishu ya muda tu.
Kama usalama wanajua ni Jiwe aliyehusika(ambayo kiuhalisia ni one of the possibilities) hawawezi kuingilia kwani itakuwa ni kutia petrol kwenye moto, they're just praying hili nalo lipite watu wasahau.
Haya ya Kabendera si mageni kwani humu JF yalishaandikwa kwa kirefu sana.
 
Pistol itakaa kiunoni au mguuni.

Hii picha moja inatakiwa iconclude kwamba siku zote alikua anatembea na pistol?
Exactly, otherwise angeitoa kwenye kasha lake la kuhifadhia pistol. Kama umeshawahi kumiliki silaha definitely you know what I mean.
 
Back
Top Bottom