Mkuu yani hadi nimesisimuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uyo Omondi siyo wa hapa asee!!
Sasa ule ufaji wa yule jamaa alo pigwa risasi sijawahi ona asee[emoji28]
Nakushangaa bongo kuna watu wana jiita ma comedian wana tuchaj mpaka hela et, wakati hawafikii hata nusu ya effort za mtu kama Omondi
Hii ni sehemu ya Movie ya Sarafina?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uyo Omondi siyo wa hapa asee!!
Sasa ule ufaji wa yule jamaa alo pigwa risasi sijawahi ona asee[emoji28]
Nakushangaa bongo kuna watu wana jiita ma comedian wana tuchaj mpaka hela et, wakati hawafikii hata nusu ya effort za mtu kama Omondi
Hii ni sehemu ya Movie ya Sarafina?
EeehMkuu yani hadi nimesisimuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimependa yule mwanafunzi alipopigwa risasi na jinsi alivyoanguka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sio Kwa kuanguka kuleNimependa yule mwanafunzi alipopigwa risasi na jinsi alivyoanguka
Bro mkubwa kweli Steve ni kujadiliwa kwenye masuala yanayomuhusu omondi??Omond Mkali sana.
Huyo andunje Stive nyerere aendelee na kazi yake ya kuwakuwadia kina kajala.