Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,083
Wanabodi,

Napenda vya Nyumbani sanaaa... Na Ningependa watu kama kina Pilipili wawe wanafanya vitu vya level Hizi..

Kimsingi Omondi hapa kafunika sana.. Kipaji cha hali ya juu..

Hii ni Movie ya Sarafina ila kaiigiza ndani ya dakika tisa tu

Enjoy!

Nimependa hapo anapomtaja Magufuli [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uyo Omondi siyo wa hapa asee!!

Sasa ule ufaji wa yule jamaa alo pigwa risasi sijawahi ona asee[emoji28]

Nakushangaa bongo kuna watu wana jiita ma comedian wana tuchaj mpaka hela et, wakati hawafikii hata nusu ya effort za mtu kama Omondi
 
Mkuu yani hadi nimesisimuka
 
Hii ni sehemu ya Movie ya Sarafina?
 
Nimependa yule mwanafunzi alipopigwa risasi na jinsi alivyoanguka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan pale kanicha hoi, ila risasi ilivo pigwa ikishawishi kuwa kuna usiriaz sasa namna ya kuanguka ndio imekuwa shidaaa
 
Heee mbona rahisi steve nyerere tunampenda kwa ukuwadi wake kwa mastaa wa bongo movie
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan pale kanicha hoi, ila risasi ilivo pigwa ikishawishi kuwa kuna usiriaz sasa namna ya kuanguka ndio imekuwa shidaaa
Hao wazungu kawapata wapi sasa...

Haha
 
Back
Top Bottom