Naona jamaa kafa ki vietinam[emoji16] [emoji12] [emoji12]
Nyimbo za huyu jamaa kiboko!!Wanabodi,
Napenda vya Nyumbani sanaaa... Na Ningependa watu kama kina Pilipili wawe wanafanya vitu vya level Hizi..
Kimsingi Omondi hapa kafunika sana.. Kipaji cha hali ya juu..
Hii ni Movie ya Sarafina ila kaiigiza ndani ya dakika tisa tu
Enjoy!
Nimependa hapo anapomtaja Magufuli [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12]
huyo jamaa ni tiriki sana.namkubalikuna jamaa mwingine hapo Kenya anaitwa MCA Tricky ni hatari sana kwa stand up comedy.