Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

Wakiachana Na fisiemu watakuwa comedian wazuri
 
ha ha haaaa, huyu next level kweli, afu hanenepi kabisa, ila yule denti alivyopigwa risasi akaanguka na kufa ile style kiboko.
 
Steve Nyerere level yako ni ukumbi wa Chimwaga mwisho, stand up comedy waachie hawa mitu ya Kenya.....ila tunaweza kuanza kuwekeza kwa hawa watoto wetu wa chekechea.
 
Steve Nyerere level yako ni ukumbi wa Chimwaga mwisho, stand up comedy waachie hawa mitu ya Kenya.....ila tunaweza kuanza kuwekeza kwa hawa watoto wetu wa chekechea.
Kama anapitia JF lazima atabadilika
 
hivi omondi chakula chake ni juice ya ukwaju au!!!
 
Wanabodi,

Napenda vya Nyumbani sanaaa... Na Ningependa watu kama kina Pilipili wawe wanafanya vitu vya level Hizi..

Kimsingi Omondi hapa kafunika sana.. Kipaji cha hali ya juu..

Hii ni Movie ya Sarafina ila kaiigiza ndani ya dakika tisa tu

Enjoy!

Nimependa hapo anapomtaja Magufuli [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12]

Nyimbo za huyu jamaa kiboko!!
 
Back
Top Bottom