kabisa mkuu. tunaona ndio fahari na kuonekana wenye pesa.Unene tunapenda wabongo
Aisee nimebana kicheko hatimae kikatoka chenyewe mkuu huyu mtu taahira aswaaa,,Wee jamaa angalia usijetumbuliwa ohoo
Kipande cha sarakasi nimekikata naangalia mda woteI can't stop watching it