Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

Jamani huyu Erick anajitahidi kubuni vitu vingi sana achana na wabongo wetu waliozoea yale yale ya kila siku
 
Nawashangaa hao gsm wanavyo disgrade brand yao kwa kumpa udhamini.
 
Steve Nyerere ni mkongwe kwenye comedy kwa muda mrefu sana huwezi kumfananisha mkongwe na msanii mpya.
-Steve nyerere ungemfananisha na wakongwe wenzake, halafu omondi ukawafananisha na hawa wachekeshaji wa sasa.
**Ni sawa na kupima uwezo wa dully sykes na harmonize.
 
Lile songi la pale class dah nimelipenda sana na mdundo wake

Jamaa amejitahidi wacha tuchome nyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka kwenye kumchoma jamaa moto..nangoja achomwe kumbe KUKU....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom