Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

15542238_340560379656132_2208209128346280046_n.jpg
 
daaah.. huyo jamaa aliyepigwa risasi ni hatar aiseee yan iyo stlye ya kufa ni kama amekua Man of the movie kama sio match..
 
Dah nimepapenda hapo jamaa anapokufa baada ya kupigwa risasi....sio kwa mbwembwe izo za kifo....Mazee tukule nyama
 
Hhaaahhahaah.Aiseeh nzuri sn .ubunifu wa nymbo, na vituko
 
Umaarufu wa Steve Nyerere sio wa kwasababu ya ku act movie/comedy..

Kipaji chake kipo hasa kwenye UKUWADI kwa kina dada wanaoitwa mastar wa bongo movie.

Mkate wake ndio anapoupatia hapo.
 
Umaarufu wa Steve Nyerere sio wa kwasababu ya ku act movie/comedy..

Kipaji chake kipo hasa kwenye UKUWADI kwa kina dada wanaoitwa mastar wa bongo movie.

Mkate wake ndio anapoupatia hapo.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Credits kwa Wasanii waliomba hizo nyimbo, namna walivyoziwekea maneno ya kiswahili, wako vizuri sana.
 
Wanabodi,

Napenda vya Nyumbani sanaaa... Na Ningependa watu kama kina Pilipili wawe wanafanya vitu vya level Hizi..

Kimsingi Omondi hapa kafunika sana.. Kipaji cha hali ya juu..

Hii ni Movie ya Sarafina ila kaiigiza ndani ya dakika tisa tu

Enjoy!

Nimependa hapo anapomtaja Magufuli [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12]

Katika Watu ambao siwakubali nipamoja nahuyu omondi
 
Back
Top Bottom