Erick Shigongo atiwa kizuizini

Na kama Shigongo kweli hamjui Manager wa Chamelione ni ajabu na aibu, staa kama yeye, wafanyakazi wake wana Udaku kibao, wanashindwa kumweleza Boss wao kuwa Manager wa Chamelione ni nani?!

afu wanajifanya wanajua orodha ya mafreemason tu kwasaana! hahaha! udaku bhana taaabu kweli kweli
 
Tatizo la magazeti ya udaku hata hili watalitoa ki udaku udaku front page ya magazeti yao ya udaku na kuukacha ukweli.
 
Niko gizani. Je kuwekwa kizuizini na kuwekwa ndani inamaanisha kitu kile kile?

Hapana hayo ni mambo mawili tofauti. Nadhani mleta habari alimaanisha kuwa - Shingongo is under police custody for questioning. Kuwekwa kizuizini ni kuwa detained.
 
Yawezekana ni maswala ya kibiashara zaidi, wanamziki wanawaliza ma promoter
 
huyu jamaa sasa anajiona naye ni godfader kibongo bongo,kuna jamaa yangu aliibiwa vifaa vya mamilioni kwenye hotel yake pale afrika sana na jamaa aliposhtaki polis arudishiwe mali zake,huyu shigongo aliibuka polis obay kuwatoa staff wake ambao mshkaji aliwahisi kumuibia,na ndugu yangu anasema kabisa kwamba shigongo alipofika kituoni obay alimfuata na kumwambia live kwamba nenda popote mali zako sirudishi na huwezi kufanya lolote,tena alitamba hivyo naskia mbele ya mapolis.picha ni kama vile shigongo anawatuma wale staff wapige sachi vyumba vya wageni pale na kuiba.tunakusanya data tumtie mikononi
 
Hii nilisikia mchana jana kumbe kweli wametia makwaya, wakome kunengua mjini hapa wanawanyonya wasani buree!
 
GAZETI LA IJUMAA-shigongo atapeliwa dola 3500 kampala

Kwa maelezo ya Chameleone kwenye video clip, Shigongo mwenyewe na meneja wake Abdallah Mrisho wameingia chaka. Wamemkabidhi mtu anayejiita meneja wa Chameleone kitita cha dola 3500 wakati siye.

Shigongo analeta ujanja wa kisukuma mjini hadi Kampala sasa amekutana na waliozaliwa na ujanja wao.
 
Nakumbuka wakati anagombea Ubunge magazeti yake yake ya kipuuzi yalikuwa yanampamba eti Shigongo kama Obama! mwe!....
 

Ahsante kwa taarifa ila kumbuka kutumia lugha unayoielewa kwa ufasaha na si kudandia lugha za watu itakuaibisha!tumia kamusi kama hauna uhakika na kile unachokiandika!
 
Shigongo kujiweka karibu na watawala kunampa kiburi sana.
 
We need to learn...contract management..shigongo was not supposed to behave the way he did.....!!
 
..duh...sasa lilikua Tamasha la Matumaini kweli...?
...Chamelion..utata...
..Cheka naye utata..

na wale wabunge walishiriki tamasha la utata... Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…