Erick Shigongo atiwa kizuizini


Dah!mbona hii imekaa kama zile riwaya zake anazotuandikiaga? Au ni promo flan, hebu watu walioko kwenye sosi plse wafunguke
 
Shigongo xio mpango :aliyetoa status aweke mambo hadhara ili wengn tuelewe.
 
Ila duniani kuna watu wana mambo as if wanaongeaga na mungu direct kama wanavyoongeaga na familia zao!
 
Sasa wewe rumande na kizuwizini tofauti yake nini? mimi naona yote sawa tu.

tofauti ni kwamba kizuizini ni kushikiliwa lakini zi lazima polisi - mara nyingi nyumbani au kijijini/ mtaani n.k. na rumande ni ndani ya cell ya polisi.
 
hapa ndo mtasema tuwe na imani na vyombo vyetu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…