Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Kumbe jamaa passport aliyonayo ni ya kidilomasia na amepewa na Museveni mwenyewe na ni balozi wake! Baada ya kuinyang'anya akamshinikiza hampi passport mpaka afanye show next sunday,
Aibu sana kwa sanaa yetu nchini! Chamilion ameshapaa asubuhi leo na alikuwa show ya MTN jana ya 200,000 USD! Wanasheria walishafika hapa tz tangu jana kusimamia maslahi yake!
kWELI MKUU MANAKE THIS GUY BWANAHAS BEEEN MAKING HIS LIVING THROUGH HUMAN TRAGEDIES. HOPE HE TOO SHOULD ADD HIS OWN SCANDLE IN HIS SCANDALOUS ORIENTED VIGAZET.aisee..,bila shaka magazeti yake yata muonyesha jinsi alivyobebwa tanganyika jek kama hayana upendeleo,.
Haahaa hiii kali mkuu!
Lkn YN mbona hujawa too precise,,kawekwa kizuizini na nani,,serikali ya tz ama Basata? Na kosa lake hasa lililopelekea hayo ni lipi,,naona umemix mix mambo tu mara chameleone,passport,,diplomatic
taarifa zilizonifikia punde zinatanabaisha kuwa mmiliki wa magazeti ya udaku nchini tz ndugu erick shigongo wawekwa kizuizini,
haijafahamika nini tatizo hasa, ila nitawajuza punde tu nipatapo habari kamili!
Updates:
Kamnyanganya chamelione passport,
tatizo jamaa ana diplomacy passport!
Issue imeingiliwa na museven mwenyewe! Bado anashikiliwa na
anahojiwa na usalama.
Wanasema yuko interogation kwao!!
Wameanza convasation saa 7 zilizopita mpaka dakika hii!
Ipo video ingieni kwenye page ya fb ya "walter rumisha"
Hii ndio STREET UNIVERSITY anayoifundisha mwenyewe. kama vipi akamuulize Prof. Jay aliyeimba. ALIYENUNUA SAA KATOA HELA YA BANDIA NA ALIYETOA HELA KAPEWA SAA BANDIA.kwa kumteka jose chameleone,yaani amejchukulia sheria mkononi,inasemekana almtuma sharabaro flan ivi kampala kuingia mkataba na msanii uyo,uyo btoz akakutana na matozy zaid yake wakamdanganya kwamba wao ni wawakilish wa jose kwaiyo akawapa mpunga kama dola elfu 3 iv,da ntaendelea baadae
Shigongo jembe,tatizo wabongo mna wivu sana.maaamazenu.
Hahhahahaha wewe Ipycalypse bana !
ukiskia THE HUNTER HAS BECOME THE HUNTED, ndio hii.....Kwa maelezo ya Chameleone kwenye video clip, Shigongo mwenyewe na meneja wake Abdallah Mrisho wameingia chaka. Wamemkabidhi mtu anayejiita meneja wa Chameleone kitita cha dola 3500 wakati siye.
Shigongo analeta ujanja wa kisukuma mjini hadi Kampala sasa amekutana na waliozaliwa na ujanja wao.
Shigongo jembe,tatizo wabongo mna wivu sana.maaamazenu.