Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Hii Arusha wing naitaji kuijua vizuri Cc LiverpoolFC, Erickb52 and ArushaOne
Kwa zamu kamanda tatizo unajifungia sana.
kapistrano; Duh! Huyu Mr Rocky; kwa kweli bado hajawa on line na jukwaa..............tunamsikilizia kwanza! Raha jipe mwenyewe bana!
Erickb52 dogo kakabwa koo sogea uokoe jahazi kabla halijazama.