Erickb52.......Utakufa wewe, Kisa ni TaiJike!!

mtanizeeshea bro wangu bana!!...
 
Hivyo hivyo ilivyosomeka..

hahahahaaaah!! wewe huoni hapo alivyotoa jicho kama mjusi aliyebanwa na mlango. Bado una swali??

Nani atamzeesha...!!

nashangaa kwenye list ya BAN haupo akati mchafu kuliko bata!...

Bishanga akija mwambie nina ujumbe wake...

ninyi mtamzeesha kwa mawazo...kila uchao anaachwa kwa ajili yenu camera zote zimegeukia alipo bana!
 
Last edited by a moderator:

Atapata ujumbe wako....
 
Hehehee Katavi umeua lol
Kwa hapo hata maumivu hakuna...kitu TaiJike si mchezo hahahaa najua unatamani km Bishanga hapo pembeni
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. Bishanga umejishika wapi? inahuu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…