technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax
Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool unahitaji kocha mwenye uwezo wa Kufundisha mpira na kutumia vipaji na kuwajenga wachezaji wapya wawe na vipaji vikubwa.
Kumchukua Zidane au Conte Ni Yale Yale ya wakina Molinyo atashinda mechi chache badae timu inarudi kulekule.
Sina uwezo wa kuwafikia board ya Machester ila huyu kocha wa ajax Ni Moto kwa mbinu .
Imagine wakina Blind ndio yuko nao kule Ajax ambao walifeli Manchester lakini wanakiwasha hatari.