Erik Ten Hag ndiye kocha sahihi kupewa Machester United

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax

Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool unahitaji kocha mwenye uwezo wa Kufundisha mpira na kutumia vipaji na kuwajenga wachezaji wapya wawe na vipaji vikubwa.

Kumchukua Zidane au Conte Ni Yale Yale ya wakina Molinyo atashinda mechi chache badae timu inarudi kulekule.

Sina uwezo wa kuwafikia board ya Machester ila huyu kocha wa ajax Ni Moto kwa mbinu .

Imagine wakina Blind ndio yuko nao kule Ajax ambao walifeli Manchester lakini wanakiwasha hatari.

skysports-erik-ten-hag-ajax_4826517.jpg
 
Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax

Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool unahitaji kocha mwenye uwezo wa

Kufundisha mpira na kutumia vipaji na kuwajenga wachezaji wapya wawe na vipaji vikubwa.

Kumchukua Zidane au Conte Ni Yale Yale ya wakina Molinyo atashinda mechi chache badae timu inarudi kulekule.

Sina uwezo wa kuwafikia board ya Machester ila huyu kocha wa ajax Ni Moto kwa mbinu .

Imagine wakina Blind ndio yuko nao kule Ajax ambao walifeli Manchester lakini wanakiwasha hatari.

View attachment 1986421
Umeongea pointi sana kuna mwingine anaitwa leonad jardim kocha wa zamn wa monaco sijui kwa sasa yuko wap!
 
Mwenyewe sijui Yuko wapi huyu jamaa

Yeah tatizo unakuta timu inataka jina kubwa bila kuangaliauwezo yani makocha wazuri wengi Ni wale wanaochukua timu ndogo then wanafanya Mambo makubwa

Kwa Zidane Bora hata umchukue Diego Simion.
 
Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax

Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool unahitaji kocha mwenye uwezo wa Kufundisha mpira na kutumia vipaji na kuwajenga wachezaji wapya wawe na vipaji vikubwa.

Kumchukua Zidane au Conte Ni Yale Yale ya wakina Molinyo atashinda mechi chache badae timu inarudi kulekule.

Sina uwezo wa kuwafikia board ya Machester ila huyu kocha wa ajax Ni Moto kwa mbinu .

Imagine wakina Blind ndio yuko nao kule Ajax ambao walifeli Manchester lakini wanakiwasha hatari.

View attachment 1986421
Tunaimani na ole.
 
Yuko Al Hilal ya Saud Arabia.

Kutoka kwake Ligue 1 alifukuzwa mara mbili SS MONACO
 
Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax

Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool unahitaji kocha mwenye uwezo wa Kufundisha mpira na kutumia vipaji na kuwajenga wachezaji wapya wawe na vipaji vikubwa.

Kumchukua Zidane au Conte Ni Yale Yale ya wakina Molinyo atashinda mechi chache badae timu inarudi kulekule.

Sina uwezo wa kuwafikia board ya Machester ila huyu kocha wa ajax Ni Moto kwa mbinu .

Imagine wakina Blind ndio yuko nao kule Ajax ambao walifeli Manchester lakini wanakiwasha hatari.

View attachment 1986421
Sasa ligi ya uholanzi unaifananisha na epl
 
Angalia champions ligue anavyowachezesha kwata toka mwaka 2017 alipoingia
Alafu angalia ajax jmezalisha wachezaji kiasi gani ambao wanakuwa na form ila wakienda timu zingine wanakufa kimpira.

Halafu wakirudi ajax wanakiwasha Tena Kama mwanzo
 
Back
Top Bottom