ha haa, hawa kweli wajinga, kenya nayo ni nchi ya kuzamia? kweli kwa ubora upi wa maisha walio nao wakenya?
A well thought fact .....Tanzanian's should understand na wakubali kuwa Kenya is the big brother in the region.......Nyerere Kawaambia kitambo....ukitaka kuona majumba marefu yaliotengenezwa na vyoo....usiende marekani....Vuka Kenya.MaaajabuWaulize akina Chief Kiumbe, Matonya, Qchhilla, mr.Blue mbona hawatoki Kenya? labda watakupa jibu uelewe, Dar padogo eti
A well thought fact .....Tanzanian's should understand na wakubali kuwa Kenya is the big brother in the region.......Nyerere Kawaambia kitambo....ukitaka kuona majumba marefu yaliotengenezwa na vyoo....usiende marekani....Vuka Kenya.Maaajabu
halafu hawa wahuni ndio zao.kila nchi wakienda WANAZAMIA!
Hao wamehusu bara...Mmesahau hata wabongo (Zanzibar Youth Team) baadhi walizamia walipoenda Ujerumani!
Hivi wangetwaa kombe wangelipeleka wapi?