Smatta
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 2,348
- 733
ha haa, hawa kweli wajinga, kenya nayo ni nchi ya kuzamia? kweli kwa ubora upi wa maisha walio nao wakenya?
Waulize akina Chief Kiumbe, Matonya, Qchhilla, mr.Blue mbona hawatoki Kenya? labda watakupa jibu uelewe, Dar padogo eti