mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Kwa kweli naskia rais wake hayupo ikulu yeye yuko bize kulima ikulu anakujaga ijumaaIle nchi nachojua inaendeshwa na chama kimoja bila uchaguzi.
Wengine huwa wanasema ni north korea ya africa
Afrika imejaa pisi Ila wabantu ndio huwa mnatuharibia mandhariEritrea ni moja ya nchi iliyojaza pisi kali.
Nakuahidi ukienda huko hutojutia
It's a dictatorship.. kama ccm tu!Habari za mda huu
Wadau naomba kujuzwa zaidi ni nani anaefahamu vizuri nchi ya Eritria maana hii nchi inaonekana kuja na surprise za kiwendawazimu kila muda
Mfano walikuwa na ugomvi wa muda mrefu na Ethiopia lakini walivyozungumza na kufunguka mipaka wakaanza kituma wanajeshi kusaidia Ethiopia
Pili ni nchi pekee inayoiunga mkono Alshabab ya Somalia
Tatu wanamichezo wake wakienda kushiriki michezo nje ya nchi hua anarudi kocha tu wengine wanazamia
Naomba kujuzwa zaidi je Eritrea ni Nchi ya namna gani?
Je msukumo wa kura yao kuelekea Urusi unatokana na nini???
Kwa vyura lakini wabantu wanawabeba.Afrika imejaa pisi Ila wabantu ndio huwa mnatuharibia mandhari
Wana chama kimoja, Rais Mmoja, Tv moja, redio moja,gazeti moja, Mtandao wa simu mmojaHabari za mda huu