Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ! Lakini uzuri wa hawa jamaa wanabahati sana. Unavisema wameporomoka hawalali na njaaa vikombe lazma. Wanakosa mwaka mmoja miaka 2 mfululizo wanabeba wao . System yao ipo poa.Barca wanahitaji miaka 5 mengine ya transformation kutoka kizazi cha kina Inesta,Xazi,Pique na kuleta damu mpya ASA za LA masia nadhani bodi imeliona ilo maana jamaa ni muumink wa soka LA vijana
Nakubaliana na wewe. Tatizo la watu wanataka kila mwaka barca wawe mabingwa. Mpira haupo ivo. Tazama walivokosa kombe utajua kama ni wachovu kiasi wanachofikiria wao. Timu kama Man U,Liverpool, AC Milan zimeporomoka sana na sio Barca . Barca timu ni nzuri tu , Man wanajaribu kurudisha hadhi yao lakin wanafeli. Point 93 kwa 90 useme timu mbovu. Waambie wanaoshika nafasi za 7 kwenye ligiBarca haiihitaj miaka yeyote kujipanga bado ni best team in europe
True sayNakubaliana na wewe. Tatizo la watu wanataka kila mwaka barca wawe mabingwa. Mpira haupo ivo. Tazama walivokosa kombe utajua kama ni wachovu kiasi wanachofikiria wao. Timu kama Man U,Liverpool, AC Milan zimeporomoka sana na sio Barca . Barca timu ni nzuri tu , Man wanajaribu kurudisha hadhi yao lakin wanafeli. Point 93 kwa 90 useme timu mbovu. Waambie wanaoshika nafasi za 7 kwenye ligi
Sema hawakuzipenda tu mbinu za EnriqueYes ! Lakini uzuri wa hawa jamaa wanabahati sana. Unavisema wameporomoka hawalali na njaaa vikombe lazma. Wanakosa mwaka mmoja miaka 2 mfululizo wanabeba wao . System yao ipo poa.