Ernie Chambers mwanasiasa aliyefungua kesi mahakamani kumshtaki Mwenyezi Mungu

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
392
Reaction score
949

Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala Jimbo Hilo kwa muda mrefu Sana.

Kwa kile alichokitambua na kukiamini katika sheria Ni kuwa kila mtu anaweza kupelekwa mbele ya sheria na akiamini hata Mungu mwenyewe apelekwe mbele ya sheria.

Mwaka 2008 alifungua kesi mahakamani akimshitaki Mungu kwa kudai analeta majanga mbalimbali duniani kama magonjwa, vimbunga n.k. Mahakama ilimpa muda wa kumtafuta Mungu alipo.


1:https://www.google.com/amp/s/www.ketv.com/amp/article/state-sen-ernie-chambers-sues-god/7610332
2:Nebraska State Senator Sues God Over Natural Disasters
This Man Literally Sued God And Actually Got His Day In Court
 
Namuunga mkono huyo seneta 😂 😂
 
Hahahahahaha!!!! Hajampata tu Sir God?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mahakama inaakili sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mahakama inaakili sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mahakama inaakili sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mahakama inaakili sana
 
mh aoni ata aibu au ndo kick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…