makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kamkuta pac man kaishajiishia zake.Huyu jamaa ndio alimpiga Pac Manny[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamkuta pac man kaishajiishia zake.Huyu jamaa ndio alimpiga Pac Manny[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahaha hatimaeMkuu huyo crowford hafai ata kidogo kwa uwezo ambao anao huyo spence atasubili ,huyo crowford kuna mabondia anawachapa mpaka makocha wao wanamzuia mpiganaji wao kuludi kwenye ring
we jamaa una akiili hatimae kapigwa round 7Crawford atampigia Spence kwa akili sana, he is very very talented, gifted, genius boxer, and he hit very fast, hard with 100% accuracy, Errol will be defeated by T.K.O in round 7 or 8..
Ukitaka kujua angalia Errol vs Kell Brook alafu angalia Crawford vs Kell Brook
Kama ww unafuatilia ngumi vema, utajua Bud ni boxer tofauti sana katika uzito wake karne hii
kapigwa round ya 7Errol Spence atapigwa kwa T.K.O in 7 or 8 round, keep my words, utaona, nadhani around Dec 2023 zitapigwa kama mambo yataenda sawa
We want Kelbruk, Kelbruk [emoji3][emoji3]Umemtaja kell brook nikamkumbuka yule mtafsiri wa mwakinyo alivyokiwa anavutia vutia pambano na Kelly, mwakinyo anaonhea kingine yeye anazungumza kingine, jamaa alileta uDUDE pale. [emoji23][emoji23]
Daah we mwamba [emoji114] kweli huu mchezo unaujua tena unaujua.Crawford atampigia Spence kwa akili sana, he is very very talented, gifted, genius boxer, and he hit very fast, hard with 100% accuracy, Errol will be defeated by T.K.O in round 7 or 8..
Ukitaka kujua angalia Errol vs Kell Brook alafu angalia Crawford vs Kell Brook
Kama ww unafuatilia ngumi vema, utajua Bud ni boxer tofauti sana katika uzito wake karne hii
kapigwa round ya 7
Errol Spence looked like an amateur, out boxed, out classed, out jabbed, downgraded and 3 wild KOs followed by TKO, Crawford made difficult fight look the easiest ever, what else do you need, LMAO ha haa, the Legendary Crawford, OMG.Daah we mwamba [emoji114] kweli huu mchezo unaujua tena unaujua.
Jamaa yangu hii comments ni ya mwaka jana! Dah wewe ni mwamba sana.Crawford atampigia Spence kwa akili sana, he is very very talented, gifted, genius boxer, and he hit very fast, hard with 100% accuracy, Errol will be defeated by T.K.O in round 7 or 8..
Ukitaka kujua angalia Errol vs Kell Brook alafu angalia Crawford vs Kell Brook
Kama ww unafuatilia ngumi vema, utajua Bud ni boxer tofauti sana katika uzito wake karne hii
Vipi Mzee, muda umeamua au?Mwezi wa Saba mwaka huu ubishi utamalizwa.
Bado nina imani na Errol Spence
ChaiHili pambano likifanyika, ninampa Spence uwezekano mkubwa wa kushinda.
ChaiMwezi wa Saba mwaka huu ubishi utamalizwa.
Bado nina imani na Errol Spence
ChaiNgoja tuone
Hongera zake Terence CrawfordErrol Spence looked like an amateur, out boxed, out classed, out jabbed, downgraded and 3 wild KOs followed by TKO, Crawford made difficult fight look the easiest ever, what else do you need, LMAO ha haa, the Legendary Crawford, OMG.
Terence Bud Crawford is an animal, the best P4P King undisputed boxer at present, his name will enter in the Boxing Hall of Fame..
TC Bud Hats off, God bless You..!! 🙌🙌👊👊👊💥
Mchezo wowote una matokeo matatu ,kushinda, kushindwa au sare.Vipi Mzee, muda umeamua au?
ChaiHongera zake Terence Crawford
ChaiMchezo wowote una matokeo matatu ,kushinda, kushindwa au sare.
Hongera zake Terence Crawford
Kinyonge sana chifuHongera zake Terence Crawford