Errol Spence vs Mikey Garcia moto kuwaka.

Errol Spence vs Mikey Garcia moto kuwaka.

Floyd ana defence mechanism nzuri sana na pia ana nidhamu ya hali ya juu. Floyd is a genius, ni mwepesi na hujenga misuli ya mabega anayoitumia kutelezesha ngumi kutoka upande wowote.
Pili, Floyd anaeza kuinama haraka, kurudisha torso nyuma wakati miguu ipo firm, na kukuzunguka kimduara na kukuchanganya.
Garcia hayupo hivyo, huwa anaenda straight kama De La Hoya kwa sababu baba yake ndivyo alivyomfundisha.
Sababu siyo south au orthodox, bali ni style ya kupigana.
Kuna yule mwehu anaitwa Adrien Broner anajaribu kuiga style ya Mayweather matokeo yake anaambulia vichapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hiyo ndiyo point.

Wengi hufanya hivyo kung'arisha CV. Na yeye mayweather hana tofauti na hao wengine.
Ila Mayweather kajitahidi, kapigana na watabe wote wa division yake wa wakati wake na still hajachafua cv, mabondia wengi wakiwa kwenye peak wanaogopa sana kuharibu rekodi zao na wanakuwa waangalifu sana kwenye kuchagua watu wa kupigana nao. We huoni kina Wilder na AJ wanavyoogopana, kila mmoja analeta visingizio vyake, mwisho wa siku utakuta wanakuja kupigana mwishoni mwa career zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe kwenye mambo ya msingi pia umo kuondoa ushabiki kinda kindaki kwa Dimond
 
Mchizi amepigana hadi kwa uviziaji.

Amepigana na Pacquiao sijaona pambano la middleweight lililokosa skills kama lile.

Na kubebwa juu.

Halafu anakuja kupigana na Mc Gregor kweli? Kwanini asingeruka hata na Crawford?
Ila Mayweather kajitahidi, kapigana na watabe wote wa division yake wa wakati wake na still hajachafua cv, mabondia wengi wakiwa kwenye peak wanaogopa sana kuharibu rekodi zao na wanakuwa waangalifu sana kwenye kuchagua watu wa kupigana nao. We huoni kina Wilder na AJ wanavyoogopana, kila mmoja analeta visingizio vyake, mwisho wa siku utakuta wanakuja kupigana mwishoni mwa career zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchizi amepigana hadi kwa uviziaji.

Amepigana na Pacquiao sijaona pambano la middleweight lililokosa skills kama lile.

Na kubebwa juu.

Halafu anakuja kupigana na Mc Gregor kweli? Kwanini asingeruka hata na Crawford?
Anaandaa mapambano ya hela, sasa Crawford unamlinganisha na Mc Gregor? Mayweather akiwa kwenye peak yake hakuna mtabe aliyemuacha, hao wakina Canelo wanaotisha leo kashawachakaza. May ashakuwa mzee sahivi sio wa kucheza na damu changa kama Crawford, acheze nao kuprove nini wakati ashacheza mapambano kibao ya ubingwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Mc Gregor ni boxer mzuri kuliko Crawford?
Nazungumzia kibiashara, pambano la yeye na Mc Gregor ndo pambano la pili lenye mauzo makubwa (PPV) tangia mchezo wa boxing uanze, limezidiwa kidogo tu na lile na Pacquiao. Kwa hatua aliyofikia May hana cha kuprove tena, yeye sio wa kupigana na hivi vitoto. Ni kuangalia tu wapi patamuingizia pesa ndefu. Alishapigana na wakali karibu wote wa kipindi chake, hana cha kuprove. Nikumbushe tu kwamba alishawahi kumchakaza vibaya Canelo, bondia anayetisha na kuheshimika zaidi kwasasa kushinda hao kina Crawford

Basi mi sina neno.

Hili swala la kutaka kukuza PPV ndo imesababisha Mc Gregor alelewe na Mayweather ili kuwapa watazamaji thamani ya pesa yao.

Ila alitakiwa aishe fasta.
 
Mayweather alikua anapigana na journeymen.
Manny Pacquiao

Maidana

Oscar De La Hoya

Juan Manuel Marquez

Ricky Hatton

Miguel Cotto

Zabb Judah

Saul Arvarez

Arturo Gatti

Shane Mosley.

NK NK

Hawa wote kawakalisha halafu bado unamchukulia poa.
 
Back
Top Bottom