Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Spencer atashinda...kwa maoni yanguTank yuko chini ya Mayweather, I'm not sure kwa Spence. Kwa mtazamo wako kati ya Spence na Crawford nani anakaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule mwehu anaitwa Adrien Broner anajaribu kuiga style ya Mayweather matokeo yake anaambulia vichapoFloyd ana defence mechanism nzuri sana na pia ana nidhamu ya hali ya juu. Floyd is a genius, ni mwepesi na hujenga misuli ya mabega anayoitumia kutelezesha ngumi kutoka upande wowote.
Pili, Floyd anaeza kuinama haraka, kurudisha torso nyuma wakati miguu ipo firm, na kukuzunguka kimduara na kukuchanganya.
Garcia hayupo hivyo, huwa anaenda straight kama De La Hoya kwa sababu baba yake ndivyo alivyomfundisha.
Sababu siyo south au orthodox, bali ni style ya kupigana.
Naelewa ndo maana nashangaa unavyosema hivyo, May analist ndefu ya watabe aliopigana naoMayweather alikua anapigana na journeymen.
Possibly, tatizo la Spence hana defense nzuri, ila ngumi anajua kurusha
Brazamen mwingine huyoKuna yule mwehu anaitwa Adrien Broner anajaribu kuiga style ya Mayweather matokeo yake anaambulia vichapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana list fupi ya journeymen?Naelewa ndo maana nashangaa unavyosema hivyo, May analist ndefu ya watabe aliopigana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule anaswag za black America haswaa, full usela maviBrazamen mwingine huyo
Hakuna bondia mkubwa aliyewahi kupigana na list ya watabe watupu, wengine wanakuwepo tu kung'arisha CVAna list fupi ya journeymen?
Na hiyo ndiyo point.Hakuna bondia mkubwa aliyewahi kupigana na list ya watabe watupu, wengine wanakuwepo tu kung'arisha CV
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana discipline.Kuna yule mwehu anaitwa Adrien Broner anajaribu kuiga style ya Mayweather matokeo yake anaambulia vichapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Mayweather kajitahidi, kapigana na watabe wote wa division yake wa wakati wake na still hajachafua cv, mabondia wengi wakiwa kwenye peak wanaogopa sana kuharibu rekodi zao na wanakuwa waangalifu sana kwenye kuchagua watu wa kupigana nao. We huoni kina Wilder na AJ wanavyoogopana, kila mmoja analeta visingizio vyake, mwisho wa siku utakuta wanakuja kupigana mwishoni mwa career zaoNa hiyo ndiyo point.
Wengi hufanya hivyo kung'arisha CV. Na yeye mayweather hana tofauti na hao wengine.
Ila Mayweather kajitahidi, kapigana na watabe wote wa division yake wa wakati wake na still hajachafua cv, mabondia wengi wakiwa kwenye peak wanaogopa sana kuharibu rekodi zao na wanakuwa waangalifu sana kwenye kuchagua watu wa kupigana nao. We huoni kina Wilder na AJ wanavyoogopana, kila mmoja analeta visingizio vyake, mwisho wa siku utakuta wanakuja kupigana mwishoni mwa career zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaandaa mapambano ya hela, sasa Crawford unamlinganisha na Mc Gregor? Mayweather akiwa kwenye peak yake hakuna mtabe aliyemuacha, hao wakina Canelo wanaotisha leo kashawachakaza. May ashakuwa mzee sahivi sio wa kucheza na damu changa kama Crawford, acheze nao kuprove nini wakati ashacheza mapambano kibao ya ubingwa?Mchizi amepigana hadi kwa uviziaji.
Amepigana na Pacquiao sijaona pambano la middleweight lililokosa skills kama lile.
Na kubebwa juu.
Halafu anakuja kupigana na Mc Gregor kweli? Kwanini asingeruka hata na Crawford?
Kwamba Mc Gregor ni boxer mzuri kuliko Crawford?Anaandaa mapambano ya hela, sasa Crawford unamlinganisha na Mc Gregor?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia kibiashara, pambano la yeye na Mc Gregor ndo pambano la pili lenye mauzo makubwa (PPV) tangia mchezo wa boxing uanze, limezidiwa kidogo tu na lile na Pacquiao. Kwa hatua aliyofikia May hana cha kuprove tena, yeye sio wa kupigana na hivi vitoto. Ni kuangalia tu wapi patamuingizia pesa ndefu. Alishapigana na wakali karibu wote wa kipindi chake, hana cha kuprove. Nikumbushe tu kwamba alishawahi kumchakaza vibaya Canelo, bondia anayetisha na kuheshimika zaidi kwasasa kushinda hao kina CrawfordKwamba Mc Gregor ni boxer mzuri kuliko Crawford?
Basi mi sina neno.Nazungumzia kibiashara, pambano la yeye na Mc Gregor ndo pambano la pili lenye mauzo makubwa (PPV) tangia mchezo wa boxing uanze, limezidiwa kidogo tu na lile na Pacquiao. Kwa hatua aliyofikia May hana cha kuprove tena, yeye sio wa kupigana na hivi vitoto. Ni kuangalia tu wapi patamuingizia pesa ndefu. Alishapigana na wakali karibu wote wa kipindi chake, hana cha kuprove. Nikumbushe tu kwamba alishawahi kumchakaza vibaya Canelo, bondia anayetisha na kuheshimika zaidi kwasasa kushinda hao kina Crawford
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli Garcia akishinda ataonekana shujaa sana.Yap, sijui kwanini Mikey amekuwa na uthubutu wa kuomba pambano na Spence, sema akibahatisha kumpiga ataishtua dunia na thamani yake itapanda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Manny PacquiaoMayweather alikua anapigana na journeymen.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Broner hamna kitu paleKuna yule mwehu anaitwa Adrien Broner anajaribu kuiga style ya Mayweather matokeo yake anaambulia vichapo
Sent using Jamii Forums mobile app