Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #41
Aiseekumbe kwenye mambo ya msingi pia umo kuondoa ushabiki kinda kindaki kwa Dimond
Pacman hawezi kukubali, he is too old hawezi kumuhandle Spence. Dogo anawish apigane naye apate easy money n' easy fame, Pacman atakuwa mjinga akikubali. Ukitaka kujua Pacman hana maajabu kwa sasa tazama pambano lake na Broner. Kuhusu Crawford mbona nasikia wakali wote wa welterweight division wanamnyali Spence? Maana naona comment za watu zikimsifia Garcia kwa uthubutu wa kupanda 2 weight division kupigana na 'boogerman' wa hiyo division, yaani katika hiyo division si Thurman/Danny Garcia/Crawford aliyewahi kuonesha serious interest ya kupigana na Spence though Spence alishawahi kuwatakaPac man sasa kuzichapa na Spence.. But Spence naona atachapwa na Man pac.. But kiboko yao wote hawa sijui Man Pac, Spence, Mike Garcia, Keith Thurman, Canelo, Jacob, GGG, Amir Khan, Porter, Dany Garcia ni.................
TERENCE CRAWFORD... This guy is an extra ordinary boxer at present... Hatari sana sana, On April 20, Amir Khan Vs Terence Crawford, at Madison Square Garden, New York itakuwa show ya nguvu, if you wanna see the best ever professional and talented boxer watch TERENCE CRAWFORD...!!
Retired best boxers akina May Weather, John Jones Jr, Andre Ward wote wanamfananisha Terence Crawford na Sugar Ray Leonard..!! Ngumi inapigwa you feel hell, i love boxing aiseee.. Spence to me bado badoo kabisa..!! Spence anamuogopa balaa Terence Crawford.. Haa
Watch..
Terence anapiga ngumii, ooh God, this guy ni hatari, he switches every style, orthodox, Southpaws, free style na anakwepa kama cobra, very quick and very accurate, you never expect mistakes toka kwake aisee.. Man Pac hataki kupigana nae.. Haaaa
Hapo Bob Arum anamshauri Spence the best thing Spence gonna do is to stay away from Terence Crawford... Haaaaa
Hapanaaaaaaaa.Ila Mayweather kajitahidi, kapigana na watabe wote wa division yake wa wakati wake na still hajachafua cv, mabondia wengi wakiwa kwenye peak wanaogopa sana kuharibu rekodi zao na wanakuwa waangalifu sana kwenye kuchagua watu wa kupigana nao. We huoni kina Wilder na AJ wanavyoogopana, kila mmoja analeta visingizio vyake, mwisho wa siku utakuta wanakuja kupigana mwishoni mwa career zao
Sent using Jamii Forums mobile app