Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #21
Hatimaye maswali haya sasa yanaweza pata majibu!.Wanabodi,
Escrow ni matokeo tuu, watu humu wanashangilia matokeo tuu, nikadhani ripoti hiyo ingetupeleka kwenye chanzo cha jinamizi hili la IPTL ili tung'oe tangu mizizi!, IPTL ni rushwa mwanzo mwizo!, hivi mnamjua ni nani aliyewaleta?!.
Paskali.
Paskali