BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Waswahili utawajua tu haswa watu wa huko. Mtu ana mali lakin ana akili ya kimaskini.Katika interview aliyofanyiwa na channel ya Sam Misago kwenye Youtube amekubali kuwa huwa anaenda kwa waganga wa kienyeji.
Anasema ''mimi ni mfanyabiashara, kwenda kwa mganga lazima. Kuna wakati unakuta hirizi mlangoni, lazima nawewe uende kwa mganga''
Kipindi cha nyuma Babu Tale alikubali pia kuwa huwa anaenda kwa waganga wa kienyeji alipokuwa akihojiwa Clouds FM.
hiyo 60% uliyoitaja nichache mnooo mkuu"... haututendei haki watanzaniaAsilimia karibu 60 ya Watanzania watu wazima wameshakwenda kwa waganga wa kienyeji.
Ukitaka kujua hilo tafuta watu 10 wachungulie wangapi wana chale migongoni, viunoni, kwenye mapaji ya uso na kwingineko.
Utachoka.
Kwa hiyo tusimshangae huyu kwenda huko.
Kuna kidemu mnyarwanda kaweka display pic hiyo avatar yako sasa nilivyoiona na kwako nikashtukaEsma kapata kiboko yake
Huyo dem ndo mimi tehKuna kidemu mnyarwanda kaweka display pic hiyo avatar yako sasa nilivyoiona na kwako nikashtuka
Humu kila mtu mtakatifu wachawi wawili tu Likud na mshana jnr!!Asilimia karibu 60 ya Watanzania watu wazima wameshakwenda kwa waganga wa kienyeji.
Ukitaka kujua hilo tafuta watu 10 wachungulie wangapi wana chale migongoni, viunoni, kwenye mapaji ya uso na kwingineko.
Utachoka.
Kwa hiyo tusimshangae huyu kwenda huko.
Mm sijawahAsilimia karibu 60 ya Watanzania watu wazima wameshakwenda kwa waganga wa kienyeji.
Ukitaka kujua hilo tafuta watu 10 wachungulie wangapi wana chale migongoni, viunoni, kwenye mapaji ya uso na kwingineko.
Utachoka.
Kwa hiyo tusimshangae huyu kwenda huko.
Hapo sasa!!mama Othman nae ana vituko kweli[emoji23]Halaf anamshangaa hamisa
Hakuna na tunaendakwani kuna tatizo mtu kwenda kwa mganga
Acha tu ananinyooshea watu kama wote... Nalisubiri file LA wastara kama hajatafuta mume kesho aolewe Sijuii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mange ananipa rahaaa sanaa
kwamba watu wengi wanaenda kwa waganga ila ni siri za ndani au sio??[emoji1] [emoji1] .tatizo sio kwenda kwa waganga tatizo ni kusema unakwenda kwa waganga
kuna vitu hutakiwi kuvisema